Molaro
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 818
- 577
Sasa padre akishindwaje kukemea aina fulani za mavazi?Jumapili iliyopita ya tarehe 16/04. Mwisho wa Misa, Padre wetu aliongea kwa uchungu sana juu ya mavazi ya waumini pale kanisani. Na alitusema sote. Wanaume na wanawake. Kusema kweli, waislamu kwa suala ya kuheshimu nyumba zao ibada. Wanatushinda.
Mbona wanaweza kuweka aina ya sadaka kwamba hawataki coins?