Sasa padre akishindwaje kukemea aina fulani za mavazi?Jumapili iliyopita ya tarehe 16/04. Mwisho wa Misa, Padre wetu aliongea kwa uchungu sana juu ya mavazi ya waumini pale kanisani. Na alitusema sote. Wanaume na wanawake. Kusema kweli, waislamu kwa suala ya kuheshimu nyumba zao ibada. Wanatushinda.
Mkuu Molaro, aliongea na kukemea sana mavazi yasiyo mazuri. Na akasema tuliheshimu kanisa na madhabau yake. Suala la waislam, nimeliongeza Mimi.Sasa padre akishindwaje kukemea aina fulani za mavazi?
Mbona wanaweza kuweka aina ya sadaka kwamba hawataki coins?
Hapo sawa kafanya vizuri. Wengine waige na sio kutuambia eti mavazi hayampeleki mtu mbinguni. Wanasahau hata pipi huuzwa ndani ya ganda.Mkuu Molaro, aliongea na kukemea sana mavazi yasiyo mazuri. Na akasema tuliheshimu kanisa na madhabau yake. Suala la waislam, nimeliongeza Mimi.
Siyo mimiWoow, ndo wew huyu au mambo ya Photoshop? ??, kaa ndo wew jpili twende kwa gwajima atupe baraka zake.......