J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 12, 2021 #1 Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga. Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi katika kipindi cha mvua. Upvote 0
Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga. Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka kwenye pochi au begi katika kipindi cha mvua.
Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Apr 12, 2021 #2 Sababu?
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,178 Reaction score 4,410 Apr 12, 2021 #3 Kamakabuzi said: Sababu? Click to expand... Ukijitupa usipate hasara ya mali ila hasara ya mwili pekee inatosha. Na vingine hukuepusha kukuweka mazingira ya kuteleza
Kamakabuzi said: Sababu? Click to expand... Ukijitupa usipate hasara ya mali ila hasara ya mwili pekee inatosha. Na vingine hukuepusha kukuweka mazingira ya kuteleza