KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Habari za muda huu waungwana......
Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho la kiungwana hayaja kaa Sawa......
Sasa sijui ndio muongozo na matakwa ya kazi yao au ni utashi wao binafsi lakini kimsingi hayako Sawa....
Matumaini yangu waungwana wengi mmejiona hilo kwenye hizo "SHELI"
Tunawaomba watu wa mamlaka ambao naamini waungwana wasilifumbie macho.....
Mtanisamehe waungwana ambao huwa mnapenda kusafisha macho maeneo hayo......
Nawasilisha