KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Noama sana😅Ni sheli Gani nipite jioni nitie wese hapo
Huko kwenye vinavyoitwa vyuo vya elimu ya juu nikipita aibu naona mm. Najiona mjinga sana nami kujiita niliyesomaMwanamke ni ua na pambo la mwanaume.. Pia ni kivutio😀
Sasa pale Kuna ukahaba gani?Watu wapo kwenye biashara,kitu wasichokijua ni kwamba kuvaa mavazi yasiyo na staha ni kujidhalilisha na kila atakayekufuata atakuwa ni wa kukupitia na kukubwaga,yaani wewe unakuwa kama jalala.Kama ni kweli wahusika wa biashara waweke misimo juu ya mavazi kwa wafanya kazi wao kuhusiana na biashara,kama ni sheli ya ukahaba waruhusiwe kuvaa kikahaba ili kupata wateja wengi wenye uhitaji wa makahaba na kama sheli Yako sio ya kikahaba basi waruhusi kuvaa kiofisi
Huyu hana chombo chochote, ni mtembea kwa miguu ndio maana picha kaipiga kwa mbaliNimesikitika sana nilitegemea nione ushahidi wa malalamiko yako
Habari haijakamilika hii...🤣🤣Bila picha?
Kiofisi kwa mwanamke?Watu wapo kwenye biashara,kitu wasichokijua ni kwamba kuvaa mavazi yasiyo na staha ni kujidhalilisha na kila atakayekufuata atakuwa ni wa kukupitia na kukubwaga,yaani wewe unakuwa kama jalala.Kama ni kweli wahusika wa biashara waweke misimo juu ya mavazi kwa wafanya kazi wao kuhusiana na biashara,kama ni sheli ya ukahaba waruhusiwe kuvaa kikahaba ili kupata wateja wengi wenye uhitaji wa makahaba na kama sheli Yako sio ya kikahaba basi waruhusi kuvaa kiofisi
Daughter shellNi sheli Gani nipite jioni nitie wese hapo
Iko sehemu gani?Daughter shell
Ili ukaweke mafuta au ukawaone hao mabinti?Iko sehemu gani?
Keep change watazipataje....MTU kaacha kifua wazi kazoro chuchu na unazitathimini utamwambia rudiaha Mia name yangu akiinama kacheni kamoja ka Silva ndani ya bikini...inaishia kuomba namba na kujichekeshaWatu wapo kwenye biashara,kitu wasichokijua ni kwamba kuvaa mavazi yasiyo na staha ni kujidhalilisha na kila atakayekufuata atakuwa ni wa kukupitia na kukubwaga,yaani wewe unakuwa kama jalala.Kama ni kweli wahusika wa biashara waweke misimo juu ya mavazi kwa wafanya kazi wao kuhusiana na biashara,kama ni sheli ya ukahaba waruhusiwe kuvaa kikahaba ili kupata wateja wengi wenye uhitaji wa makahaba na kama sheli Yako sio ya kikahaba basi waruhusi kuvaa kiofisi