Mavazi ya mabinti wa vituo vya kuuzia mafuta yanawadhalilisha na kutia kinyaa!!

Picha ya sheli inasaidia nini badala ya kuweka picha za misambwanda ya wadada wa sheli.
 
Sasa pale Kuna ukahaba gani?
Wewe nenda sheli nunua mafuta, yasiyo kuhusu achana nayo, Dunia haipo kukufurahisha wewe
Kama unajiona
Sasa pale Kuna ukahaba gani?
Wewe nenda sheli nunua mafuta, yasiyo kuhusu achana nayo, Dunia haipo kukufurahisha wewe
Mavazi na mienendo Ya mtu kwenye biashara ndiyo inayomuweka mtu kwenye kundi la makahaba,
 
Bila pichaa huu uziii ni batili...
 
Bila picha uzi ni batili
 
Wewe unaenda pale kama mkaguzi wa mavazi kwenye vituo vya kuuzia mafuta au unaenda pale kama mteja?
 
Pila picha hili bandiko lako ni uzushi mtupu.
Anyway bado tuko palepale:
No Elections No Reforms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…