tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #221
Hivyo ni vipini vya upako au ni vya kazi gani mkuu?Nina ndugu yangu mmoja ni partner wa kapola(partners ni watu wake wa karibu kabisa, wanatoa michango mikubwa mikubwa)
Akaniambia kuna partner anatoa 20M kila mwezi
Kuna vipini vinauzwa kanisani kwake 100k unaviweka kwenye shati/koti
Ana huduma kubwa sana