Nina ndugu yangu mmoja ni partner wa kapola(partners ni watu wake wa karibu kabisa, wanatoa michango mikubwa mikubwa)
Akaniambia kuna partner anatoa 20M kila mwezi
Kuna vipini vinauzwa kanisani kwake 100k unaviweka kwenye shati/koti
Ana huduma kubwa sana