Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Status
Not open for further replies.

James Kasonda

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
84
Reaction score
49
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.
 
maadili ni kitu cha msingi sana, anapaswakurejea Ethics za kazi yake zinampasa kufanya vipi!!
 
Anatafuta bwana
 
Umemtongoza kakukatalia umeamua kuja kulalamika JF weka picha tuone
 
Huo ni ushamba. Alivaa vizuri.. Usituletee ukoloni wa nyumbani kwako hapa kwenye jamii. Kama ni mabinti wenu kuhatibika mnawanunulia sim wenyewe na siku hizi fb. Ni bure. Kwa hio kila kitu wanakiona bure .muache dada yangu

Mleta mada ni mtu wa maadili na hata nyumbani kwake anasimamia maadili, tatizo kuna wahuni wachache wanaotetea maovu mitandaoni,..
 
Huo ni ushamba. Alivaa vizuri.. Usituletee ukoloni wa nyumbani kwako hapa kwenye jamii. Kama ni mabinti wenu kuhatibika mnawanunulia sim wenyewe na siku hizi fb. Ni bure. Kwa hio kila kitu wanakiona bure .muache dada yangu

Mleta mada ni mtu wa maadili na hata nyumbani kwake anasimamia maadili, tatizo kuna wahuni wachache wanaotetea maovu katika jamii,..
 
hiyo office haiko na maadili ya kazi? Kiukweli kipindi hiki naonaga kama hii tasnia ya habari imeingiliwa sabu hizi tv zinazoongezeka kama zinasahau miiko yao.
 
Huo ni ushamba. Alivaa vizuri.. Usituletee ukoloni wa nyumbani kwako hapa kwenye jamii. Kama ni mabinti wenu kuhatibika mnawanunulia sim wenyewe na siku hizi fb. Ni bure. Kwa hio kila kitu wanakiona bure .muache dada yangu

Bora huo UKOLONI kuliko huo ujinga wako na wa dada yako
 
Rais wako ndo anapenda hayo mambo alafu we unapiga kelele huku, hata hivyo mbona alivaa vizuri tu kulinganisha na mabibi zetu huko zamani waliokuwa wanaacha karibia mwili mzima wazi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…