King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Si ndo hapo. Namshangaa hata mtoa mada kukwazika na mavazi ya huyu dada. Yaani huyu hata avaeje mie sidhani kama nitaona aibu. Kuna mwili hapo ukipewa hilo vazi, kila mtu ataomba poo! Yaani itakuwa dhambi za bureeee:behindsofa:
Mwanamke akiwa na tunyama twa kushikia jeans isidondoke inapendeza sana! kakauka sana jamani hana mvuto kabisaaa!