Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wako ndo anapenda hayo mambo alafu we unapiga kelele huku, hata hivyo mbona alivaa vizuri tu kulinganisha na mabibi zetu huko zamani waliokuwa wanaacha karibia mwili mzima wazi.
Na hiyo picha ze shuzi ulimuazima wewe???!!!!Alikuwa anatangaza kipindi cha dini? Usiunganishe frustration zako za maisha na tv, kama una mwamba tatua tatizo lako usikasirikie wengine. Huyu hata atangaze bila vazi kabisa babangu Mtambuzi wala hastuki
Samahani dada, hivyo viatu vinamtosha? Na hii kitu naonaga hata kwa models wa majuu, sipendi kweli!
Unajua katuni ya bi Mkora???!!!
Na hiyo picha ze shuzi ulimuazima wewe???!!!!
Halafu hivi wewe, au basi tu!!!!!
Ha ha haaaa wala sio mgomvi ni vile tu nimekumbuka!!!!!!Hahahaha, yaani maisha haya! Wakati wengine tunahangaika na gym, wengine wako kama bi mkora. Huyu hata nikimkuta na paw nawaachia round mbili za bia natangulia home.
afu mbona mgomvi sana wewe siku hizi? Ntakusemelezea ujue! Hivyo viatu atakuwa kachukua dukani kwa Kongosho. Na alipotoka hapo vilifutwa vikarudishwa
Anatafuta nini mke wa mtu...
Kumbe naye usafiri kausahau home kama jirani zake pale mlimani?
tuwekee picha ya kivazi. otherwise sioni tatizo
Duh,hizo ngoti utafikiri brake za Gari Moshi.
Anatafuta bwana
Salma Msangi ana vi/ta/ko kama vya kumbikumbi.
Ha ha haaaa wala sio mgomvi ni vile tu nimekumbuka!!!!!!
Mambo ya fwasheni hayo, we bakia na maneno Maasai mmoja wewe!!!!!
mambo ya kutembea kama miguu imekatika center bolt nani anataka? katambuga ndo mpango mzima sasa, utakoma mwenyewe