Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Anatafuta bwana. Kuna tofauti kati ya mume na bwana!
alaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta bwana. Kuna tofauti kati ya mume na bwana!
hatamie nimeona ila nikapotezea, ka wa beberu
Hahahaha, yaani maisha haya! Wakati wengine tunahangaika na gym, wengine wako kama bi mkora. Huyu hata nikimkuta na paw nawaachia round mbili za bia natangulia home.
afu mbona mgomvi sana wewe siku hizi? Ntakusemelezea ujue! Hivyo viatu atakuwa kachukua dukani kwa Kongosho. Na alipotoka hapo vilifutwa vikarudishwa
mmmmh! Mbona hata supu ya kuonesha hana!! Au macho yangu? Vipaja kama vijogoo vya broila
Umenikumbusha lile tangazo sijui la godoro gani vile, amevaa suruali utasema imetungikwa kwenye mti (ngongoti). Halafu anavaa utasema kalazishwa au huwa ameahidiwa mamilioni ya fweza?Kha!!!! Muguu umekauka kama mbao za 2by2. Loh maumbile mengine yakufichia kwenye madira amekauka: kama anakunywa JIK
Mapendekezo ya Katiba mpya yanapendekeza nchi yetu iwe na Maadili, Utu au Tunu, lakini Wabunge wengine na Vyama vyao hawataki kusikia kabisa kitu kama hicho katika Katiba! Tutafika kweli?maadili ni kitu cha msingi sana, anapaswakurejea Ethics za kazi yake zinampasa kufanya vipi!!
Samahani dada, hivyo viatu vinamtosha? Na hii kitu naonaga hata kwa models wa majuu, sipendi kweli!
Kha!!!! Muguu umekauka kama mbao za 2by2. Loh maumbile mengine yakufichia kwenye madira amekauka: kama anakunywa JIK
Nchi yenyewe haina mila wala desturi utamlaumu Nani? unawezaje kumkataza mtu huyo wakati channel zinaonesha wamiss kuliko vile. upumbavu mtupu wamiss unatizama wewe unakaa na wazazi wako unafurahi na kutabasamu mbona hujapinga hata jamii forums wakakusikia na vyombo vya serekali vinaupa upaombele na sio hiyo tu ata michezo ya kibongo uchafu mtupu ukitazama ndani huwezi kaa peke seuze na mzee wako. ujinga mtupu..
Hahahaha, yaani maisha haya! Wakati wengine tunahangaika na gym, wengine wako kama bi mkora. Huyu hata nikimkuta na paw nawaachia round mbili za bia natangulia home.
afu mbona mgomvi sana wewe siku hizi? Ntakusemelezea ujue! Hivyo viatu atakuwa kachukua dukani kwa Kongosho. Na alipotoka hapo vilifutwa vikarudishwa
nawashangaa sana wanaomsifia humu.......
Ha ha ha ha, wewe na OLESAIDIMU ni wambea sana, mie nimeona miguu imetumbukia kwa mbele nikajichekea tu.
mie ni mwanafunzi wa udaku kwa mwalimu OLESAIDIMU