Mavazi ya Salma Msangi akiwa kazini jana hayafai

Status
Not open for further replies.
Si ndo hapo. Namshangaa hata mtoa mada kukwazika na mavazi ya huyu dada. Yaani huyu hata avaeje mie sidhani kama nitaona aibu. Kuna mwili hapo ukipewa hilo vazi, kila mtu ataomba poo! Yaani itakuwa dhambi za bureeee:behindsofa:
Mwanamke akiwa na tunyama twa kushikia jeans isidondoke inapendeza sana! kakauka sana jamani hana mvuto kabisaaa!
 
Namjua huyu. Ana maziwa marefu, hadi huyaviriga kwanza kama tonge la chapati kabla ya kutambukiza kwenye sidiria.
Nadhani alishaachika huyu.
Ova
 
mmmm kazi kweli kweli, picha halisi au............
 
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.

Unaleta ushamba wako wa kitaleban
 
mbona si sisimki hapo? Kakonda mno. Napenda nyamanyama!
 
Fashion changes... watu tuache kuwa conservative. Kama ni uzee kaa na uzee wako mwenyewe, usilazimishe jamii nzima ivae kizee kama wewe
 
Kuna watu sijui huwa wana matatizo gani vichwani mkuu! Utalazimisha vipi watu wavae unavyotaka?! We are living in civilized world.
 
Mi nilijifunza hizi mambo miaka kadhaa iliyopita. Mwishoni mwa miaka ya 80 nikiwa primary, mwanafunzi mmoja nusura afukuzwe shule kwa kuvaa kaptula yenye marinda. Ilionekana ni uhuni. Baadae mwishoni mwa miaka ya 90 nikiwa sekondari mwanafunzi mwingine alikuws branded mhuni kwa kuvaa suruali HAINA marinda. Nakumbuka kipindi fulani ilikuwa ni dhambi mwanafunzi kunyoa "unga". Leo hii mwanangu wa kike kila jumamosi ya pili anatakiwa kunyoa.

Uvaaji wa jeans mwanzoni Ilionekana ni dhambi. Leo hii hadi wachungaji wanapanda majukwaani na jeans.

Hizi mambo ukizijua wala huumizi akili yako...
 
Ukizingatia waliokuwa kwenye mamlaka yako(iwe mke, watoto, familia n.k) unajua ucheze nao vipi, lakini si kwa kumuingilia mtu mwingine wa nje uhuru wake.
 
Mavazi aliyovaa Salma Msangi jana akiwa anatangaza kipindi cha TV kwenye Chanel Ten yanapotosha jamii kabisa, hasa mabinti wadogo wanaokua. Mtangazaji wa vipindi vya TV anapaswa kujiheshimu kimavazi akikumbuka kwamba yeye ni kioo cha jamii.

Salma alivaa kijisuruali cha Jeans kilichobana sana na kilichoraruliwa kwenye mapaja. Hii haikubaliki. Kama baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa kwa sababu mbalimbali basi huyu binti anapaswa kupigwa marufuku kutangaza vipindi vya TV. Na si yeye tu, hata hicho kituo cha Chanel Ten kinapaswa kufungiwa kwa muda kadhaa ili wajifunze maadili mema ya utangazaji.

Ukiona HIVYO BOSI KATOKA KUPIGA MBIZI HAPO KABLA YA KUINGIA KAAZINI M NINA BINTI ALIEKUWA MSTARAQBU KAAZINI ALIPOJUA NAMBA YA BOSI HATAAAAAREEEEE

AKANZAKUNIJIA N MIPASUKO
NIKIKOMAA ABADILISHE ANASEMA ATAJAAJRIBU NA MIE NI BOSI WAKE HUYO NAEMWONGELEA NI TOP DIR

NIKAONA SIKUBOSI AKIJA LTE BIBIE ANAINGIA NA VIWALO

Siku AKAAENDA CHOONI KAAGA HAJAKUBWA PEPO LIKANITUMA NICHUNGULIE PICHA LOH NGUOILEILE KATOKAKUPUMULIWA. BOSI
SO USIMLAUMU SANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom