Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Huyu binti mavazi yake naona hayapo kimaadili hasa ikizingatiwa kuna baadhi ya familia zinapenda kufuatilia tamthilia ya siri za familia mara baada ya kumaliza suzzy na sam wa misago ni jambo la busara kuvaa mavazi ya kuutunza mwili wake vizuri kutuachia vitovu nje hii ina maana gani?

Kuna waandishi na watangazaji wameshika nafasi kubwa serikalini lakini walianzia kwenye hiyo fani yake je hii haiwezi kuja kumletea madhara hapo baadae kwa mwenendo wake huu wa kuanika mwili wake hovyo?

Maadili yazingatiwe utandawazi usituzidie.
 
ukiacha wachache, nasema wachache, sio wote watangazaji wa kike huwa ni malaya!
 
ukiacha wachache, nasema wachache, sio wote watangazaji wa kike huwa ni malaya! Kuna tendency ya kuwa malaya! OVA

Huyu mtangazaji anaelekea kubaya aisee
 
kwa hiyo umemuona suzy tu!!! ...wengine huwaoni acha kumsakama demu wangu !!!

Leo kamera yangu imemnasa mkuu tuendelee kuwakumbusha hawa wasitoke nje ya maadili kuna watoto wanafuatilia vipindi hivi.
 
Wewe una agenda zako binafsi na huyo Dada, ukaamua kumleta huku
 
Wewe una agenda zako binafsi na huyo Dada, ukaamua kumleta huku

Hamna mkuu mi sina agenda yoyote tunatakiwa kukumbushana pale tunapoona kioo cha jamii anakengeuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…