radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Huyu binti mavazi yake naona hayapo kimaadili hasa ikizingatiwa kuna baadhi ya familia zinapenda kufuatilia tamthilia ya siri za familia mara baada ya kumaliza suzzy na sam wa misago ni jambo la busara kuvaa mavazi ya kuutunza mwili wake vizuri kutuachia vitovu nje hii ina maana gani?
Kuna waandishi na watangazaji wameshika nafasi kubwa serikalini lakini walianzia kwenye hiyo fani yake je hii haiwezi kuja kumletea madhara hapo baadae kwa mwenendo wake huu wa kuanika mwili wake hovyo?
Maadili yazingatiwe utandawazi usituzidie.