Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

Mkuu wapo wengi sana wa hivyo juzi kati nilikuwa naangalia BBC DIRA YA DUNIA kuna mdada anaitwa Beryl Wamban siku hiyo alikuwa anatangaza sehemu ile ya michezo aisee ile nguo yake ya chini sikufurahishwa nayo kiukweli.
 
Mbona kawaida na anavaa vizuri. Kama hupendi acha kutazama.
 
Mkuu wapo wengi sana wa hivyo juzi kati nilikuwa naangalia BBC DIRA YA DUNIA kuna mdada anaitwa Beryl Wamban siku hiyo alikuwa anatangaza sehemu ile ya michezo aisee ile nguo yake ya chini sikufurahishwa nayo kiukweli.
Afadhali umenisaidia hilo jina maana uwa wanalitamka fasta kiasi kwamba uwa silipati vizuri
 
33ddaed26be2f845617860d464c5bf0b.jpg
719477e85d5e725973874daaf67cef1a.jpg
4d8949f56b3de0ed90244d5c4ca7fb25.jpg
b74666298cb49d44fc411ac7ff2bdd39.jpg
c1773e33c69aca42c27f95ae65c77abb.jpg

Haya picha hizo
Mkuu hapo mi sijaelewa kabisa yani sasa sijui ni ushamba wangu ama nini mbona mi sijaona icho cha ajabu kinachokunyima raha wewe? yaani hapo labda umeona nini ambacho kinakufanya useme kua sio maadili?
 
Mkuu umewahi kumuona mwanamke barabarani katembea hivyo kitovu kipo nje?
 
Kuhusu mavazi sina comment ila mbona yule hana sauti ya utangazaji,,,??hata sura ya mvuto hana labda matako ndo yamembeba ila ni mganga njaa analazimisha fani kwakwel sauti mbovu
hahahaha kwa hiyo mwenye sauti nzuri ni shadeee na sura nzuri?
 
Huyu binti mavazi yake naona hayapo kimaadili hasa ikizingatiwa kuna baadhi ya familia zinapenda kufuatilia tamthilia ya siri za familia mara baada ya kumaliza suzzy na sam wa misago ni jambo la busara kuvaa mavazi ya kuutunza mwili wake vizuri kutuachia vitovu nje hii ina maana gani?

Kuna waandishi na watangazaji wameshika nafasi kubwa serikalini lakini walianzia kwenye hiyo fani yake je hii haiwezi kuja kumletea madhara hapo baadae kwa mwenendo wake huu wa kuanika mwili wake hovyo?

Maadili yazingatiwe utandawazi usituzidie.
huyo demu mjinga sana its better angekuwa sister wa kikatolk as mzee wake alvotaka awe...anaona ufahar kujiuzisha kwenye media na vipaja vyake
 
hahahaha kwa hiyo mwenye sauti nzuri ni shadeee na sura nzuri?
Kwa levo zako ww uyo atakua na sura nzuri mana nyie wahaya sura zenu si mpoki-type ila mi naona sura na sauti hamna kitu.

Uyo shadee ndo hamna kitu mana ana shepu km muhindi aliyefilisikika
 
Back
Top Bottom