Kabisa na hakikisha kwa wanaume lau rangi ya kiatu inafanania na mkanda.
Pili usiwe unatafuna kitu mdomoni kama chewing gum. Huwa tunaziita bigG
Hakikisha umeoga wengine huwa nanakuja na vile vijasho visivyo rasmi hadi board room inajaa majasho. Sijui huwa inakuwa ni woga au nini