Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

Jinzi za mikasi

Ziligewa hili jina kutokana na wimbo wa marehemu Mangwea.

Kodrai
 
Habari noo!!basi hapo ulikua umevaa rubega sidaiii na moka chinii napigia ngishu tu muluzii[emoji2] [emoji2] [emoji2]
yaani nimesahau maana nilivyotoka pande hizo miaka hiyo sijawahi rudi tena ila nazitamani zile nyakati na zile tamaduni
 
Full jeans kama vile akademiks, phat farm, snoop dogg na raba za" kuwaka waka"
 
Kanuni kubwa ni kua hizo nguo baada ya Christmas utaanza kuzivaa J/pili na siku ya matukio muhimu.
Viatu utaanza kwenda navyo shule
 
7efac335b3d421ad98cf2c0fc610baa1.jpg
 
mm namfaham diamond John tu napo nimemjua kwenye show ya shark tank ila b4 nilikuwa napiga mitupio tu ya FUBU 05 .... hii brand mkuu bado ipo ?
Mkuu unajua brand huja na kupotea..... Ukivaa sasa hivi FUBU 05 utaonekana umetoka Sanya Juu huko.......ni sawa na brand ya Calvin Klein "cK"
 
Sisi wengine wazee wetu wanaangalia nguo ilio kwenye chati kwa wakati uwo hivyo sikukuu hii waewza vaa pensi na t-shirt sikukuu nyingine unanunuliwa suti
 
Mkuu unajua brand huja na kupotea..... Ukivaa sasa hivi FUBU 05 utaonekana umetoka Sanya Juu huko.......ni sawa na brand ya Calvin Klein "cK"
cK daaah kitambo ndo mipangoo yenyewe hii ila cK huwa naziona ona kuzurura zura madukan humo
 
Back
Top Bottom