Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Napata picha...good combo!!!
Aksante mydia maana mie ni mmoja wa wahanga wa situation za namna hii.............Anakununulia but ukivaa anagomba....haya labda leo ntabahatika kujua where did I go wrong..............
Vipodozi wameshaanza kuchomekea humu...Kloro anadai kwamba wengine hua wanatoka utadhani rainbow...hawafagilii kabisa!!Asante mamito kwa kuwaanzishia hii topic mana ingekuja baada ya wigiz..nawasoma vizuri na fleva zao🙂
next vipodozi na viatu(high heels naona itakonga zaidi)..ha ha
Dark Blue/Grey or Black Kloro,usiwe mkali hivyo hata kunioa bado....he he he,mi mwanamke bwana,nina haki ya kutania na kuelekezwa kwa upendo na kuulizwa kwa upole.....:mod:Khaaa! suti la pink kwani natoka mombasa?, michelle kuwa serious bana. Lizzy naomba mchango wako wa harusi kabisa.
Hayo ma leggings na ma tights hata mimi yananiboa kweli aisee na kuna nyengine hii, limwanamke lina mtumbo halaf linavaa kitop! unakuta mtumbo unatikisika akitembea utadhani tetemeko la Japan dah! hakyababu inaniudhi ajabu.Klorokwini....................siku hizi ninakuogopa......laiti Mbu angekuwepo angesema ni mavazi ya aina gani anayapendelea.....So far tunajua hapendi leggings loh!!
Hahahha...mchango wa kazi gani wakati mimi ndo nahesabu mahari?!Khaaa! suti la pink kwani natoka mombasa?, michelle kuwa serious bana. Lizzy naomba mchango wako wa harusi kabisa.
Dogo, huyo red ni hollywood, hao uporoto na CPU haujakosea kabisa, jamaa chooni wanaingia na raba.Walahi tena hakuna mwanaume anayenizidi kwa kunyuka pamba za ukweli humu. Watu wenyewe hawa kina Klorokwini na Uporoto na Sii Pii Yuu.....game over.
Nat really...zote ulizotaja zimetulia!!Ungekua umepiga suruali ya kijani..shati la njano..tai nyekundu na viatu vya bluu kama Kloro ndo ingebidi nijitolee kukurekrbishia!!
Thats my gal! acha nimpige kibuti Husninyo tuanze mikakati.Dark Blue/Grey or Black Kloro,usiwe mkali hivyo hata kunioa bado....he he he,mi mwanamke bwana,nina haki ya kutania na kuelekezwa kwa upendo na kuulizwa kwa upole.....:mod:
La pink au cream mpenzi/mume mtarajiwa Kloro wa ukweli....l.o.l:dance::dance::dance:
Lolzzz....
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!
Vipodozi wameshaanza kuchomekea humu...Kloro anadai kwamba wengine hua wanatoka utadhani rainbow...hawafagilii kabisa!!
Sipendi wanaume wanaovaa mashati ya vitenge au vitenge full suti. Japo najua wengi wanavaa na wengine wanavaa sare na wake zao. Nashukuru mume wangu pia hapendi.