Mavazi...

Mavazi...

Walahi tena hakuna mwanaume anayenizidi kwa kunyuka pamba za ukweli humu. Watu wenyewe hawa kina Klorokwini na Uporoto na Sii Pii Yuu.....game over.
 
Aksante mydia maana mie ni mmoja wa wahanga wa situation za namna hii.............Anakununulia but ukivaa anagomba....haya labda leo ntabahatika kujua where did I go wrong..............

Sema hawa nao ni vigeu geu kweli...leo anapenda kesho hapendi...kwako hapendi mwingine anamsifia!!

Hehehhe kuhusu MBU kutokupenda leggings tulifikia makubaliano kwamba cha juu kikisitiri vizuri hamna tatizo!!
 
Asante mamito kwa kuwaanzishia hii topic mana ingekuja baada ya wigiz..nawasoma vizuri na fleva zao🙂
next vipodozi na viatu(high heels naona itakonga zaidi)..ha ha
Vipodozi wameshaanza kuchomekea humu...Kloro anadai kwamba wengine hua wanatoka utadhani rainbow...hawafagilii kabisa!!
 
Khaaa! suti la pink kwani natoka mombasa?, michelle kuwa serious bana. Lizzy naomba mchango wako wa harusi kabisa.
Dark Blue/Grey or Black Kloro,usiwe mkali hivyo hata kunioa bado....he he he,mi mwanamke bwana,nina haki ya kutania na kuelekezwa kwa upendo na kuulizwa kwa upole.....:mod:
 
Klorokwini....................siku hizi ninakuogopa......laiti Mbu angekuwepo angesema ni mavazi ya aina gani anayapendelea.....So far tunajua hapendi leggings loh!!
Hayo ma leggings na ma tights hata mimi yananiboa kweli aisee na kuna nyengine hii, limwanamke lina mtumbo halaf linavaa kitop! unakuta mtumbo unatikisika akitembea utadhani tetemeko la Japan dah! hakyababu inaniudhi ajabu.
 
Khaaa! suti la pink kwani natoka mombasa?, michelle kuwa serious bana. Lizzy naomba mchango wako wa harusi kabisa.
Hahahha...mchango wa kazi gani wakati mimi ndo nahesabu mahari?!

Poa basi ntakupunguzia buku mbili....ila sasa usiende kumnyanyasa dearest wangu!
 
I need to work on my color coordination. Whaddya think?

Nat really...zote ulizotaja zimetulia!!Ungekua umepiga suruali ya kijani..shati la njano..tai nyekundu na viatu vya bluu kama Kloro ndo ingebidi nijitolee kukurekrbishia!!
 
Walahi tena hakuna mwanaume anayenizidi kwa kunyuka pamba za ukweli humu. Watu wenyewe hawa kina Klorokwini na Uporoto na Sii Pii Yuu.....game over.
Dogo, huyo red ni hollywood, hao uporoto na CPU haujakosea kabisa, jamaa chooni wanaingia na raba.
 
Nat really...zote ulizotaja zimetulia!!Ungekua umepiga suruali ya kijani..shati la njano..tai nyekundu na viatu vya bluu kama Kloro ndo ingebidi nijitolee kukurekrbishia!!

Maneno ya ukweli kutoka kwa wa Ukweli yaliyojaa ujazo kama alivyojazia Eliza yule wa pale Tabata kwa muuza bata.
 
Dark Blue/Grey or Black Kloro,usiwe mkali hivyo hata kunioa bado....he he he,mi mwanamke bwana,nina haki ya kutania na kuelekezwa kwa upendo na kuulizwa kwa upole.....:mod:
Thats my gal! acha nimpige kibuti Husninyo tuanze mikakati.
 
nina tatizo na wanaume wanaovaa suruali za rangi kama kijani,njano,cream,nyekundu,zambarau au nyeupe.....rangi ya suruali ya kiume iwe khaki,dark bluu,nyeusi,kijivu...... rangi nyingine ni so feminine!!!

sure,gud for me nimewahi vaa jeans nyeupe tu,but long time ago sizipendi
kwa sababu ya usafi tu!!
 
Vipodozi wameshaanza kuchomekea humu...Kloro anadai kwamba wengine hua wanatoka utadhani rainbow...hawafagilii kabisa!!

Naona swaga zake Kloro, ananikumbusha ile mtu katoka kama x-mas tree mana yale mapambo yake rangi kibao🙂
Ila kiukweli kwa fashion sasa, kuvaa bright colours kama inaendana na mtu aliyevaa na kapangilia vizuri basi ni mlipuko mzuri sana..isiwe tu rainbow/x-mas tree...
 
Sipendi wanaume wanaovaa mashati ya vitenge au vitenge full suti. Japo najua wengi wanavaa na wengine wanavaa sare na wake zao. Nashukuru mume wangu pia hapendi.

duh,i always new wewe ni dume kumbe.....
 
Back
Top Bottom