Mavazi...

Hhahahhaah...kwa wadada kuchanganya inauza sasa hivi ila kwa mwanaume aiseeee....ni hadithi nyingine!!

Alafu eti na wale wanaovaaga suruali au hata suti za mng‘aro mng‘aro kama wakina Kanumba hua wanafikiria nini???!
 
Inaonyesha wewe unaelewa zaidi kwa picha kuliko notes (learning style). Kilichokufanya ujue mimi mwanaume ni picha ya Chavez. Umeignore jina "Nyumba kubwa"

sure,hata ninaposoma natumia video mara nyingi ili kuelewa zaidi!
 
Msanii lazima atoke tofauti. SI unamuona Awilo Longomba au marehemu Michael na don't touch na soksi nyeupe!


Hhahahhaah...kwa wadada kuchanganya inauza sasa hivi ila kwa mwanaume aiseeee....ni hadithi nyingine!!

Alafu eti na wale wanaovaaga suruali au hata suti za mng‘aro mng‘aro kama wakina Kanumba hua wanafikiria nini???!
 
Duuuh!!!
hongera sana dada kumbe weye macho yako yote huwa yapo mahala pale?
kweli nime kubali we mkare!!!
 


Khaaa,...kumbe ile messeji ilikuwa delivered ee? ha ha ha
hapana, hapa sitasema lolote nisije udhi maswahiba zangu.
Kuna kipindi Vigezo, kanuni na sheria huzingatiwa ili 'mdomo usije ponza kichwa'

Nitakuja changia mjadala wa make ups zenu hizo usoni, he hehe heh!
 
Napenda mwanaume avae suruari ya kubana. Hasa ikiwa jeans, afu achomekee
 

Ohhh come on MBU...tuambieni bwana tujue!!
 



Unajua Lizzy kwenye mambo ya mavazi,
kwakweli kila mwanaume nae ana mtazamo wake,
Binafsi napenda sana mavazi ambayo yanaendana na mazingira husika,
Napenda sana my wife anapovaa nguo za staha ninapokua nae katika mtoko wa aina yeyote,
Kiukweli (mwenzangu ana umbo la kibantu kidogo), kwahiyo huwa
sipendi avae mavazi ya kubana bana,kwani sipendi sana macho ya watu,
yatumulike kila tunapopita!

Lakini kama ulivyosema sometimes, wanaume na sisi ni vigeugeu,
kuna wakati unapokuwa na mpango wa nje, wallahi napenda sana,
akivaa suruali au jeans ya kushika (hapa ni kwa wale waliobahatika kuumbika vizuri)
Napenda sana kumwona binti mwenye figa yake lakini, zile pindo za chupi zikiwa,
zinakatisha kwenye makalio yake, lakini zisiwe zile chupi kama mibukta!NO...........
Kuna chupi fulani hivi ambazo hazina pindo kubwa, lol...zikiwa zinaonyesha lile pindo lake kwa mbali,
Basi inakuwa mzuka sana!!!!!!!!
 

jamani hamjasikia yaliyomkuta dada wa watu huko Iringa? sijui ni nini hasa.
 
Napenda mwanaume wangu akivaa nguo yoyote awe na vesty ndani nyeupe, pia sipendi wanaume wanaoshonesha suruali na celebration kibao, yaani utadhani mwalimu mkuu wa vichochoroni primary school! sorry mwalimu
 
Mbona fashion police wanakanda sana nguo zinazooshesha pindo la chupi? mie nahisi kuonyesha mwisho wa chupi ulovaa kama ushamba hivi sijui wenzangu
 
 
Mbona fashion police wanakanda sana nguo zinazooshesha pindo la chupi? mie nahisi kuonyesha mwisho wa chupi ulovaa kama ushamba hivi sijui wenzangu

mimi sijui kama ni ushamba au vipi,
lakini binafsi huwa nazimika tu na hiyo style Gaga,
yawezekana labda na mimi ni mshamba huwezi jua!!!!!!!!!!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…