Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
That‘ll be even better.,,
Oh really? Exactly how? Inquiring minds want to know...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That‘ll be even better.,,
Ok ok nakufukuzia.Kubali unanifukuzia basi....
Hhahahhaah...kwa wadada kuchanganya inauza sasa hivi ila kwa mwanaume aiseeee....ni hadithi nyingine!!Naona swaga zake Kloro, ananikumbusha ile mtu katoka kama x-mas tree mana yale mapambo yake rangi kibao🙂
Ila kiukweli kwa fashion sasa, kuvaa bright colours kama inaendana na mtu aliyevaa na kapangilia vizuri basi ni mlipuko mzuri sana..isiwe tu rainbow/x-mas tree...
duh,i always new wewe ni dume kumbe.....
Inaonyesha wewe unaelewa zaidi kwa picha kuliko notes (learning style). Kilichokufanya ujue mimi mwanaume ni picha ya Chavez. Umeignore jina "Nyumba kubwa"
Hhahahhaah...kwa wadada kuchanganya inauza sasa hivi ila kwa mwanaume aiseeee....ni hadithi nyingine!!
Alafu eti na wale wanaovaaga suruali au hata suti za mng‘aro mng‘aro kama wakina Kanumba hua wanafikiria nini???!
Duuuh!!!Mhh Lizzy mi nasema inayowahusu hao guys
Mi sipendi wanaume wanaivaa suruali halafu hawavai au kuhifadh maungo vizuri. Yan unakuta mtu hapo mbele panaonekana pacheza cheza tena hapo mtu kavaa sut. Yan pamelegeaaaaaaa
Nisamehen km nimeleta yasiohusika!!!
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!
Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
Khaaa,...kumbe ile messeji ilikuwa delivered ee? ha ha ha
hapana, hapa sitasema lolote nisije udhi maswahiba zangu.
Kuna kipindi Vigezo, kanuni na sheria huzingatiwa ili 'mdomo usije ponza kichwa'
Nitakuja changia mjadala wa make ups zenu hizo usoni, he hehe heh!
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!
Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
Guys baada ya kutujulisha kwa kiasi gani msivyopenda tunavyozika nywele zetu ndani ya mawigi na weavings nimeona niulize kuhusu upande wa mavazi...!Maana hua hamuishi kulalamika sijui tunajiachia sana...wengine hawajali stlye kwao ilimradi kuvaa tu!
Je wewe unapenda mke/mchumba/mpenzi wako avae mavazi ya aina gani ili nafsi yako iridhike na kufurahi?!Kua free kuongelea occasion tofauti kwanzia nyumbani...kwenye majukumu ya kijamii mpaka mnapokua mmeongozana kwenye mitoko ya weekend!
Mbona fashion police wanakanda sana nguo zinazooshesha pindo la chupi? mie nahisi kuonyesha mwisho wa chupi ulovaa kama ushamba hivi sijui wenzanguUnajua Lizzy kwenye mambo ya mavazi,
kwakweli kila mwanaume nae ana mtazamo wake,
Binafsi napenda sana mavazi ambayo yanaendana na mazingira husika,
Napenda sana my wife anapovaa nguo za staha ninapokua nae katika mtoko wa aina yeyote,
Kiukweli (mwenzangu ana umbo la kibantu kidogo), kwahiyo huwa
sipendi avae mavazi ya kubana bana,kwani sipendi sana macho ya watu,
yatumulike kila tunapopita!
Lakini kama ulivyosema sometimes, wanaume na sisi ni vigeugeu,
kuna wakati unapokuwa na mpango wa nje, wallahi napenda sana,
akivaa suruali au jeans ya kushika (hapa ni kwa wale waliobahatika kuumbika vizuri)
Napenda sana kumwona binti mwenye figa yake lakini, zile pindo za chupi zikiwa,
zinakatisha kwenye makalio yake, lakini zisiwe zile chupi kama mibukta!NO...........
Kuna chupi fulani hivi ambazo hazina pindo kubwa, lol...zikiwa zinaonyesha lile pindo lake kwa mbali,
Basi inakuwa mzuka sana!!!!!!!!
sasa mnataka tuwaapproach na camcorder?, hivi mdada unamwambia simple marangi yako rekebisha au tafuta make up consultant, yeye anaamua kununa na ili kuonesha msisitizo wa kununa anagoma hata kufua makufuli yake. khaaa! tutauwana jamani![/QUOTE]
Sikua najisikia kucheka kabisa leo we tablet una vituko hakyanani mwe!
Mbona fashion police wanakanda sana nguo zinazooshesha pindo la chupi? mie nahisi kuonyesha mwisho wa chupi ulovaa kama ushamba hivi sijui wenzangu
sasa mnataka tuwaapproach na camcorder?, hivi mdada unamwambia simple marangi yako rekebisha au tafuta make up consultant, yeye anaamua kununa na ili kuonesha msisitizo wa kununa anagoma hata kufua makufuli yake. khaaa! tutauwana jamani![/QUOTE]
Sikua najisikia kucheka kabisa leo we tablet una vituko hakyanani mwe!
Hii inanikumbusha mbali kweli,
unakuta kamdada karembo kweli kwa nje,
lakini kumbe ni kavivu kweli katika kufua kufuli zake lol......