Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

umeongea " vyema " sana" haswaa hpo kwa aslay
 
Kwamba mfadhiri mbuzi utakula mchuzi, kwa hiyo huyo mbuzi ndo anapenda kufadhiriwa ili aje achinjwe aliwe mchuzi?
hahaaa",wabongo utawaweza" kila jambo kwao baya"" mavocal na WCB. ni MSAMIATI wa Siri ya Mtungi""... so wakuta " mtu ni shabiki tu" mchota maji wala hajui kilichotokea' baina' ya kata ''na mtungi"" lakini anavimba shingo" na kujifanya" yeye ndiye 'msemaji" WA mambo" asiyoyajua" WABONGO sijui tupoje '!!!
 
Hapa sio kweli mkuu, hivi Harmonize alikua anamsumbua vipi Diamond kabla ya kua WCB? Na Rayvanny pia? Mbosso na Lava lava je? Hapa kinachoendelea ni watu wenye chuki kumpandikiza maneno Rich Mavoko, nae akaamini kweli ni bora kuliko WCB nzima. Nilimsikia Rich akisema ameshindwana na WCB kwenye mambo mengi likiwemo la yeye kutakiwa kutoa nyimbo mfululizo kitu ambacho mwenyewe hataki. Sasa wewe umekubali kua chini ya management halafu unaigomea inachotaka?

Diamond na management yake sasa wajifunze, ni bora kuchukua msanii ambaye hajasikika popote wamfanye kua star kuliko hawa waliokua kwenye soko kabla.
 
Akifanya beef na Diamond anaweza kufanikiwa. Mjomba kaona fursa sasa asubiri nini?
 
WCB kwishaaa wamezoea mwendo wa kiki tu
 
Heading na content ni tofauti. Ulichoandika kimedhihirisha team yako, full stop.
 
una matongotongoa bado, amka
 
Miaka Mia hata viatu vya King diamond platinumz awezi kuvi shika tu,na Wala sio kuvivaaa yeye mavoko amesha kufa kimuziki time will tell, diamond platinumz anampinzani yeyote bongo na Africa kalale wewe.
 
Usijidanganye unazani anaweza toka WCB kirahisi lazima achanike na nakwambia atapata tabu sana ma atakuwa Kama baraka da prince aliyeleta fyongo kwa diamond platinumz siunaona anavyo ahahaha now days ko mavoko kushinei Babu ji.
 

Acha kutisha watu wewe! Kwamba hakuna maisha nje ya WCB? Mavoko alikuwepo hata kabla ya hiyo WCB kumchukua. Ngoja apambanie haki yake. Mlikuwa mnatumhumu Ruge kwamba anawanyonya wasanii. Leo boss wenu Mondi anafanya hayo hayo mnalaumu wanaopinga huo unyonyaji!

Sisi binadamu bwana...watu wa ajabu kweli kweli!
 
Aslay anakitu chochote yule zaidi ya kuimba Aina moja y amziki hadi tumemchoka aaepe zake huko yeye mwenyewe tumesha msahau WBC for Life.
hahaaaa kumbe" una ongea kishabiki" na sio kama mchambuzi" basi umeshinda bab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…