Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

Mavoko kweda wasafi ilikuwa ni kosa kubwa kwake na pia faida kwa wasafi. Wasafi wanachokifnya ni kuchukua mtu yeyote anayeonekana anaweza kusumbua bongo kwenye music kama akipata management nzuri,ndio management wakamsajili na huo mchezo mchafu wanafanyia yule dogo Aslay kwa kumtafutia watu wanaofanana nae kuimba ila dogo hawamzimi yani. Mavoko kwa muziki ni zaidi ya Diamond sema kupata team ya kumbrand ndio shida.
umeongea " vyema " sana" haswaa hpo kwa aslay
 
Kwamba mfadhiri mbuzi utakula mchuzi, kwa hiyo huyo mbuzi ndo anapenda kufadhiriwa ili aje achinjwe aliwe mchuzi?
hahaaa",wabongo utawaweza" kila jambo kwao baya"" mavocal na WCB. ni MSAMIATI wa Siri ya Mtungi""... so wakuta " mtu ni shabiki tu" mchota maji wala hajui kilichotokea' baina' ya kata ''na mtungi"" lakini anavimba shingo" na kujifanya" yeye ndiye 'msemaji" WA mambo" asiyoyajua" WABONGO sijui tupoje '!!!
 
Mavoko kweda wasafi ilikuwa ni kosa kubwa kwake na pia faida kwa wasafi. Wasafi wanachokifnya ni kuchukua mtu yeyote anayeonekana anaweza kusumbua bongo kwenye music kama akipata management nzuri,ndio management wakamsajili na huo mchezo mchafu wanafanyia yule dogo Aslay kwa kumtafutia watu wanaofanana nae kuimba ila dogo hawamzimi yani. Mavoko kwa muziki ni zaidi ya Diamond sema kupata team ya kumbrand ndio shida.
Hapa sio kweli mkuu, hivi Harmonize alikua anamsumbua vipi Diamond kabla ya kua WCB? Na Rayvanny pia? Mbosso na Lava lava je? Hapa kinachoendelea ni watu wenye chuki kumpandikiza maneno Rich Mavoko, nae akaamini kweli ni bora kuliko WCB nzima. Nilimsikia Rich akisema ameshindwana na WCB kwenye mambo mengi likiwemo la yeye kutakiwa kutoa nyimbo mfululizo kitu ambacho mwenyewe hataki. Sasa wewe umekubali kua chini ya management halafu unaigomea inachotaka?

Diamond na management yake sasa wajifunze, ni bora kuchukua msanii ambaye hajasikika popote wamfanye kua star kuliko hawa waliokua kwenye soko kabla.
 
Akifanya beef na Diamond anaweza kufanikiwa. Mjomba kaona fursa sasa asubiri nini?
 
WCB kwishaaa wamezoea mwendo wa kiki tu
 
Heading na content ni tofauti. Ulichoandika kimedhihirisha team yako, full stop.
 
Mavoko kweda wasafi ilikuwa ni kosa kubwa kwake na pia faida kwa wasafi. Wasafi wanachokifnya ni kuchukua mtu yeyote anayeonekana anaweza kusumbua bongo kwenye music kama akipata management nzuri,ndio management wakamsajili na huo mchezo mchafu wanafanyia yule dogo Aslay kwa kumtafutia watu wanaofanana nae kuimba ila dogo hawamzimi yani. Mavoko kwa muziki ni zaidi ya Diamond sema kupata team ya kumbrand ndio shida.
una matongotongoa bado, amka
 
Miaka Mia hata viatu vya King diamond platinumz awezi kuvi shika tu,na Wala sio kuvivaaa yeye mavoko amesha kufa kimuziki time will tell, diamond platinumz anampinzani yeyote bongo na Africa kalale wewe.
 
Sikufurahia Mavoko kwenda WCB, hii ni sawa nisikie Ali Kiba amejiunga WCB sitafurahi. Nimefurahi kusikia ameachana nao. Kweli tunahitaji wasanii washirikiane, sio waungane. Ushindani baina yao utaleta mziki mzuri. Kila la kheri Mavoko, nimekuona na Dokii pale BASATA, hapana shaka ngoma zako zitapigwa EFM. Usikonde, Efm ni mziki mnene, utasikika tuuu.
Usijidanganye unazani anaweza toka WCB kirahisi lazima achanike na nakwambia atapata tabu sana ma atakuwa Kama baraka da prince aliyeleta fyongo kwa diamond platinumz siunaona anavyo ahahaha now days ko mavoko kushinei Babu ji.
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.

Acha kutisha watu wewe! Kwamba hakuna maisha nje ya WCB? Mavoko alikuwepo hata kabla ya hiyo WCB kumchukua. Ngoja apambanie haki yake. Mlikuwa mnatumhumu Ruge kwamba anawanyonya wasanii. Leo boss wenu Mondi anafanya hayo hayo mnalaumu wanaopinga huo unyonyaji!

Sisi binadamu bwana...watu wa ajabu kweli kweli!
 
Aslay anakitu chochote yule zaidi ya kuimba Aina moja y amziki hadi tumemchoka aaepe zake huko yeye mwenyewe tumesha msahau WBC for Life.
hahaaaa kumbe" una ongea kishabiki" na sio kama mchambuzi" basi umeshinda bab
 
Back
Top Bottom