Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

hahaaaa kumbe" una ongea kishabiki" na sio kama mchambuzi" basi umeshinda bab
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka comment yake hapo nyuma eti diamond hana wa kushindana nae Africa!
sijui Africa ipi hiyo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka comment yake hapo nyuma eti diamond hana wa kushindana nae Africa!
sijui Africa ipi hiyo!
hahaaa"...umeona mkuu" kwamba huyo ni msukule wa WCB ...eeehh""!!
 
Weee kweli una matatizo ya akili,mavoko alikua ni msanii mkubwa kabla hata hajakutana na diamond sasa kusaidiwa huko vipi mbona watanzania shule ndogo umbea mwingi....na sijui swala la kumita mavoko msaliti na bila prove yoyote wewe utakua una elment za kishoga
 
Anakitu anatafuta Kiki yule kwa diamond platinumz atapatatabu Sana
 
Kaona Kiba kaenda mpirani akaamua achukue nafasi yake


Bora afute vumbi kiti cha bwana harusi. Fursa iko wazi, asubiri support kutoka kwa dada wa Marekani tu
 
Anahamia ccm
 
Usajili mpya wa wcb hata perez wa madrid hajawahi kufanya hivyo...

Tegeni sikio
 
mtoto wa mama Richard amekataa kuwa mtumwa..Tale na Salam wanavimba makalio kunyonya wasanii
 
Rayvan nae muda wowote anatoka..wakristo wasafi hapawafai jamaa wanafuga majini hatari...Wamemkatalia Rayvan kujenga kanisa ila wao wanajenga misikiti...
Hizi propaganda za kidini siyo nzuri kwa mustakabari wa maendeleo ya vijana. Rayvanny ni Mkristo taingia haja sainiwa na wasafi na amesainiwa akiwa mkristo, yani toka yuko TipTop ambapo ilikuwa chini ya Waislam na wasanii wengi walikuwa Waislamu kule hata Madee ambaye alikuwa anajaribu kumtoa kimziki lakini bado wakaona wamsaidie wakaomba diamond amchukue na akamchukua akijua Mkristo kamsaidia katoka na kuwa hapo alipo.
Leo mnaanza sema eti ooh sijui aje sijui Mkristo over alikuja Mwislam akachange dini jamani acheni uongo na wivu muogopeni Miungu.
 
Mzito? Kabla ya Mavoko kuja WCB ... alikua na hit gani iliyokua sokoni!?

Nitajie ngoma alizofanya Mavoko akiwa WCB alafu rudi uangalie ngoma zake kabla ya kuingia WCB.
Tafuta uwiano wa ubora wa Rich kwenye vipindi ivyo viwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…