Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka comment yake hapo nyuma eti diamond hana wa kushindana nae Africa!hahaaaa kumbe" una ongea kishabiki" na sio kama mchambuzi" basi umeshinda bab
hahaaa"...umeona mkuu" kwamba huyo ni msukule wa WCB ...eeehh""!![emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka comment yake hapo nyuma eti diamond hana wa kushindana nae Africa!
sijui Africa ipi hiyo!
Kishabiki wakati unaona wanavyomtolea mapovu Kila siku abadilishe aina ya mziki ambao anaimba au wewe auboreki?hahaaaa kumbe" una ongea kishabiki" na sio kama mchambuzi" basi umeshinda bab
Unajua maana ya msukule?hahaaa"...umeona mkuu" kwamba huyo ni msukule wa WCB ...eeehh""!!
Mond alimkuta Rich Mavoco,sio Richard!Mavoko alikuwa na maisha kabla ya WCB
Pale WCB walimuita ili kumua kimuzik kama walivyo kuwa wanataka kufanya kwa Aslay
Kaona Kiba kaenda mpirani akaamua achukue nafasi yakeAkifanya beef na Diamond anaweza kufanikiwa. Mjomba kaona fursa sasa asubiri nini?
Weee kweli una matatizo ya akili,mavoko alikua ni msanii mkubwa kabla hata hajakutana na diamond sasa kusaidiwa huko vipi mbona watanzania shule ndogo umbea mwingi....na sijui swala la kumita mavoko msaliti na bila prove yoyote wewe utakua una elment za kishogaMsanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.
Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.
Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.
Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
Anakitu anatafuta Kiki yule kwa diamond platinumz atapatatabu SanaWeee kweli una matatizo ya akili,mavoko alikua ni msanii mkubwa kabla hata hajakutana na diamond sasa kusaidiwa huko vipi mbona watanzania shule ndogo umbea mwingi....na sijui swala la kumita mavoko msaliti na bila prove yoyote wewe utakua una elment za kishoga
Kaona Kiba kaenda mpirani akaamua achukue nafasi yake
Mavoko alikuwa na maisha kabla ya WCB
Pale WCB walimuita ili kumua kimuzik kama walivyo kuwa wanataka kufanya kwa Aslay
Anahamia ccmMsanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.
Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.
Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.
Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
Rayvan nae muda wowote anatoka..wakristo wasafi hapawafai jamaa wanafuga majini hatari...Wamemkatalia Rayvan kujenga kanisa ila wao wanajenga misikiti...Rich Mavoko anaihitaji WCB kuliko WCB inavyomuhitaji.
Hizi kelele zitaisha sio muda.
Hizi propaganda za kidini siyo nzuri kwa mustakabari wa maendeleo ya vijana. Rayvanny ni Mkristo taingia haja sainiwa na wasafi na amesainiwa akiwa mkristo, yani toka yuko TipTop ambapo ilikuwa chini ya Waislam na wasanii wengi walikuwa Waislamu kule hata Madee ambaye alikuwa anajaribu kumtoa kimziki lakini bado wakaona wamsaidie wakaomba diamond amchukue na akamchukua akijua Mkristo kamsaidia katoka na kuwa hapo alipo.Rayvan nae muda wowote anatoka..wakristo wasafi hapawafai jamaa wanafuga majini hatari...Wamemkatalia Rayvan kujenga kanisa ila wao wanajenga misikiti...
umeandika pumba sana kenge weweRayvan nae muda wowote anatoka..wakristo wasafi hapawafai jamaa wanafuga majini hatari...Wamemkatalia Rayvan kujenga kanisa ila wao wanajenga misikiti...
Mzito? Kabla ya Mavoko kuja WCB ... alikua na hit gani iliyokua sokoni!?