Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
 
Mavoko kweda wasafi ilikuwa ni kosa kubwa kwake na pia faida kwa wasafi. Wasafi wanachokifnya ni kuchukua mtu yeyote anayeonekana anaweza kusumbua bongo kwenye music kama akipata management nzuri,ndio management wakamsajili na huo mchezo mchafu wanafanyia yule dogo Aslay kwa kumtafutia watu wanaofanana nae kuimba ila dogo hawamzimi yani. Mavoko kwa muziki ni zaidi ya Diamond sema kupata team ya kumbrand ndio shida.
 
Yuko vizuri sana sema tu ndo hivyo Mondi kashika soko,atengengeze tu brand yake bila kubishana
 
Sikufurahia Mavoko kwenda WCB, hii ni sawa nisikie Ali Kiba amejiunga WCB sitafurahi. Nimefurahi kusikia ameachana nao. Kweli tunahitaji wasanii washirikiane, sio waungane. Ushindani baina yao utaleta mziki mzuri. Kila la kheri Mavoko, nimekuona na Dokii pale BASATA, hapana shaka ngoma zako zitapigwa EFM. Usikonde, Efm ni mziki mnene, utasikika tuuu.
 
Napinga hoja yako tena usitake tubishane saiz na kichwa kilicho jaa konyagi za kutosha mixer Dompo
mavoko mpaka ana sainiwa WCB alikuwa kama anapotea hadi alikuwa kasainiwa na King Kaka Empire inayomilikiwa na Mkenya Rabbit kaka sungura na alitoa nyimbo na collabo kadhaa moja akiwa na Rabbit mwenyewe lakini hazikupenya.
Mavoko anajua sana ila nilitazama interview ya Diamond akawa anasema yeye anajua kuna watu wanamchonganisha naye hadi kuna muda mavoko alimblock whatsapp, alisema anajua kabisa kuna watu wanamchonganisha wanamjaza maneno ya uongo dhidi yake inabidi awe makini maana hata yeye anadai asingekuwa makini angekuwa ashagombana na watu wengi kwa maneno anayoletewa.
Ninahisi anahisi yeye ni msanii mkubwa sana ana deserve zaidi ya alivyo sasa ngoja tuone atafika wapi maana yeye ndiye anajua wapi anataka kwenda.
 
Huyo nae nahisi moyo unamuuma kuondoka WCB sasa kelele za nini?
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
Alivyokuwa WCB mlisema haendani na WCB, leo ametoka mnamshambulia kama paka aliyekunywa maziwa ya mtoto mchanga.
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
Kwamba mfadhiri mbuzi utakula mchuzi, kwa hiyo huyo mbuzi ndo anapenda kufadhiriwa ili aje achinjwe aliwe mchuzi?
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.

Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza,,,waachie wenyew sababu wanaijua ukitak kujua zaid.mfate mavoko atakupa yote nahisi hata ungalikuw ni ww ungekimbia
 
Back
Top Bottom