Mavoko awavimbia Diamond Platnumz na mama yake

Sipendi tamaduni za WCB, lakini mavoko alikuwa amepotea.
Nakumbuka hata nyimbo zake mbili za mwisho hapo kabla.
WCB ilikuwa ni 'last resort'
Lakini kama mtu mzima ana haki ya kufanya maamuzi yoyote anapoona walakini.
 
Miaka Mia hata viatu vya King diamond platinumz awezi kuvi shika tu,na Wala sio kuvivaaa yeye mavoko amesha kufa kimuziki time will tell, diamond platinumz anampinzani yeyote bongo na Africa kalale wewe.
Hueleweki "anampinzani"au "hanampinzani"
 
Watajijua wenyewe ya kwangu tuu yananishinda ntatoboaje kuwa malkia wa nguvu.
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
kwa nini wewe usikitike wakati Diamond mwenyewe hajasikitika???
 
Kuna kitu unafanywa na huyo Mondi.
 
Kwanza kabla hajahamia WCB alikuwaje hasaaa alikuwa hawezi kuimba au??WCB wamemrudisha nyuma sanaaaaa...
 
Unajua kiswahili kweli?
Duu soma vzr comment yako usije chekwa. Ulikua una maanisha Dimond hana mpinzani ndani ya bongo na Africa ila umeandika "dimond Anampinzani" yani umekoroga halafu unaniuliza mimi kama najua kiswahili?????
 
Daaaaaaah unajua tofauti ya a na ha?
 
Mwenzako anataka ngoma zake zipigwe clouds wewe endelea kubaki huko utakula heuri yakooo
 
Mavoko nzur ulicho kifanya kwakuwa ulikuwa vizuri lakn ukaamua kuingia kwenye kundi la unyonyaji lakni kumbuka usinyee kambi kabla ujajuwa utalala wapi
 
Msanii msaliti Rich Mavoko ameonesha chuki ya wazi wazi kabisa kwa Diamond Platnumz kwa kuamua kumu unfollow kabisa I.G yeye pamoja na mama yake mzazi bi Sandra.

Mavoko hajaishia hapo tu , ameamua mpaka kufuta post zote za show alizipiga akiwa chini ya wasafi na picha zote alizopiga na Diamond Platnumz na mambo yote yanayohusu wasafi kiujumla.

Kiukweli hili swali limenisikitisha sana kwa kuwa huyu Mavoko amesaidiwa sana na Mondi na alikuwa ameshaanza kutoboa kimataifa ila kuna watu wachache wamemshika masikio na kumpandikiza chuki dhidi ya Mondi hatimaye ameondoka wasafi kwa dharau pamoja na kurusha madongo kila kukicha.

Kwa hakika waswahili husema "Fadhila mfadhiri mbuzi utakula mchuzi , usimfadhiri binadamu anamaudhi" ndicho ninachokiona kwa huyu Mavoko na ninathubutu kusema mwisho wake wa muziki unakaribia , Time Will Tell.
Katika kila mgogoro uliopo katika jamii, Kuna mengi saaana yaliyo nyuma ya pazia, na ningumu kuyajua Bali Yale yaliyopo juu juu ndo jamii hutoa hukumu pasipo kujua hasa kiini Cha mgogoro....na hawawezi kusema mbele ya jamii....unaweza kukuta Mondi kamgongea manzi wake ampendaye...hili hawawezi kuongea media....Ni mawazo yangu lakini..
 
Inasemekana Diamond kamgongea Gigy Money wake.
 
Mavoko alikuwa maarufu na vizuri kabla ya kuingia wasafi.

Alishaanza kufanya show nje.
Alishaanza kushoot video SA.

Tangu aingie wasafi naona kapotea tu.
Labda ameambulia views Youtube.
 
Kwani kurekodi video South Africa ndio unaona mafanikio? We wa wapi?
 
Kuna tetesi za udini kunuka WCB sijui wadau kunaukweli wowote eti?
 
Back
Top Bottom