Mavoko unavyotunga nyimbo ni balaa!

Kokoro ndo nini ? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya majina ya nyimbo yasiyoeleweka ni dalili mbaya za kupotea kimuziki
 
that your opinion and not fact!!
 
Kokoro ni wimbo mkubwa wabongo watachelewa kuuelewa ila watauelewa baadae.
 
Ana nyimbo pia kawatungia wasanii wengine
 
Bonge la ngoma
 
Pacha wangu ilitulia sana kuanzia audio mpaka video
Halafu KTM hata nomination haikupata, lkn haters mlikaa kimya hata hamkupiga kelele.Tulieni sasa mshkaji akawanie tuzo za nje na Kokoro hiyo Pacha wangu pamoja na uzuri wake haikumfikisha popote
 
Nimekwambia wimbo ni mbaya na sio kwamba hana mafanikio au la.
Hizo simu anapigiwa simply kwasababu yupo chini ya WCB.

Halafu KTMA hata nomination haikupata, lkn haters mlikaa kimya hata hamkupiga kelele.Tulieni sasa mshkaji akawanie tuzo za nje na Kokoro hiyo Pacha wangu pamoja na uzuri wake haikumfikisha popote
 
Halafu KTM hata nomination haikupata, lkn haters mlikaa kimya hata hamkupiga kelele.Tulieni sasa mshkaji akawanie tuzo za nje na Kokoro hiyo Pacha wangu pamoja na uzuri wake haikumfikisha popote
Nani hater?
 
Acheni maneno wekeni MUZIKI,huku kwetu tunachofahamu darassa kafanya uhalifu ameua kokoro sasa imekua kokoa,na huyo mavocal ndo anapotea hvo
 
Halafu KTM hata nomination haikupata, lkn haters mlikaa kimya hata hamkupiga kelele.Tulieni sasa mshkaji akawanie tuzo za nje na Kokoro hiyo Pacha wangu pamoja na uzuri wake haikumfikisha popote
Watu wanaroho mbaya wakati jamaa anakosa tuzo kila mwaka walikuwa wanafurahi leo kapata.msahada kwa diamond wanachukia kweli kweli kwanini afanikiwe huy ndo ilivyo kwenye jamii zetu we nyimbo kama roho yangu na pacha wangu kufanya vizuri pamoha na machui humo humo lakini jamaa bado tuzo alikuw anakosa me nahisi kipind cha nyumba ndo alikuw hakubaliki
 
Kweli kabisa yaani nilishangaa sana kipindi kile eti Pacha wangu haikupata hata nomination kwenye Kili halafu wabongo walikaa kimya. Yaani kuna watu wachawi sana duniani wanataka Movoko awaimbie wao tu lkn yeye asipate chochote ndo maana wanaponda sana Mavoko kufanya mziki wa biashara kwa sababu wanajua atapiga pesa. Tucheki hawa watu walivyobadilika na mambo yakaenda poa;
Madii- Pombe yangu
Dogo Janja- My life
Darasa-Too much, Muziki
Leo hii hata Fid Q akisema abadilike atengeneze pesa watapinga lkn juzi kati tu ametoa track ya SUMU ujumbe kibao lakini hakuna mwenye ishu nayo.
 
Hapo hata mie nilishangaa sana silali,roho yangu na pacha wangu izi nyimbo mavoko alizichora aswaaa lakin hata tuzo ya kufutia majasho hakupata kweli tz Noma sna
 
mavoko ni msanii mzuri ila kokoro aalivyoimba kama mlevi kwenye kariokeee
 
Hapo kwenye "silali" umenigusa kweli mkuu
Aliimba kwa hisia sana
 
Acheni maneno wekeni MUZIKI,huku kwetu tunachofahamu darassa kafanya uhalifu ameua kokoro sasa imekua kokoa,na huyo mavocal ndo anapotea hvo
At the end of the day mje mtuletee mrejesho kati ya hizo ngoma mbili Muziki vs Kokoro ipi imefanikiwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…