Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 377
- 502
Mavoko hadi leo hajatunga wimbo ulionishika kama Silali.
Ule ndio wimbo wangu bora kabisa wa Mavoko, utunzi na uandishi murua kabisa ambao kila niusikilizapo lazima nitikise kichwa na kukubali...naam hapa kijana alituliza akili.
Kidoooogo labda Pacha wangu na Ibaki story, hii kokoro ya sasa kapotoka.
Sio Mavoko yule niliyeHacha kabisabisa maw
Wacha kabisa mavoko ni mzuri lakini hapo kwa silali 🙌forever🔥🔥🔥Mavoko hadi leo hajatunga wimbo ulionishika kama Silali.
Ule ndio wimbo wangu bora kabisa wa Mavoko, utunzi na uandishi murua kabisa ambao kila niusikilizapo lazima nitikise kichwa na kukubali...naam hapa kijana alituliza akili.
Kidoooogo labda Pacha wangu na Ibaki story, hii kokoro ya sasa kapotoka.
Sio Mavoko yule niliyemkubali.