GE2025 Mavunde: Kura ya ndiyo kwa Samia ndiyo mwendelezo wa mambo mazuri tuliyoanza kuyaona Mtumba

GE2025 Mavunde: Kura ya ndiyo kwa Samia ndiyo mwendelezo wa mambo mazuri tuliyoanza kuyaona Mtumba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mgombea Ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha wanampigia kura, mgombea urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan ili kumwezesha kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisema ndiye kinara wa maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea katika jiji la Dodoma.

“Kura ya ndiyo kwa Samia ndiyo mwendelezo wa mambo mazuri tuliyoanza kuyaona Mtumba. Tumpe tena nafasi ili tuyamalize tuliyoanza,” amesema Mavunde.

 
Back
Top Bottom