GE2025 Mavunde: Sekta ya madini ya dhahabu, inachangia asilimia 30 ya maduhuli ya serikali

GE2025 Mavunde: Sekta ya madini ya dhahabu, inachangia asilimia 30 ya maduhuli ya serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
"Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na ulitoa maelekezo katika Mkoa wetu tutoe leseni kwa wanawake, Vijana na wenye ulemavu na wapo akinamama mashahidi hapa uliwanunulia leseni, ukawalipia, ukawakabidhi kwa fedha zako wenyewe na akinamama hawa leo wanaanza uchimbaji hapa Geita." Amesema Mavunde."

 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom