Mawakala mikoa ya Mbeya,Iringa na Rukwa

teachers' junction

Senior Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
122
Reaction score
9
Habari wana jf.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kutokana na kuwa na wateja weng kwenye mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Tumedhamiria kufungua tawi mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Hivyo tunahitaji mawakala kutoka mikoa hiyo.
Kila mkoa utaundwa na kundi la watu watatu mmoja akiwa ni branch manager.
Sifa za kujiunga:-
*kwenye kila mkoa awepo mwalimu kwenye kila kundi mwenye elimu kuanzia Diploma.
*Awepo mtu mwenye network kubwa na private schools.
*Awepo mtu mwenye ujuzi wa kutumia computer hasa data base na excel.
*wawe na uwezo wa kulipia Pango na Funitures.
*kuwepo na mkazi wa kudumu wa eneo hilo.
*wawe na uwezo mzuri wa lugha ya kiswahil na kingereza.

MAJUKUMU.
*kutembelea shule na kusimamia timu ya mauzo.
*kufanya usajili na usaili wa walimu.
*kuhudhuria vikao vyote vikao vyote vya teachers' junction.

NB.
*Members watatakiwa kulipa kila mmoja Tsh 50,000/=
*Members wawe wameshamteua kiongoz wao.
*Wote wawe tayari kukutana na uongozi wa Teachers Junction.
Ambao utakuwa mbeya mjini kuanzia 25.03.2014 hadi 29.03.2014.
Thibitisha utayari wako kwa kutuma jina,umri,Elimu,Profesional yako na Mahali unapoishi.
Kwa maelezo zaidi.
0753-810857
 
hao wanachama baada ya kutoa hiyo 50,000 watanufaikaje? pia kiwango hiko cha pesa mmeona ni sahihi sababu mi ninavyojua waalimu wengi wamekopa hivyo kiwango cha mishahara wanachopokea hakitoshelezi mahitaji na ongezeko la gharama la sasa.

Je hamuoni kiwango mlichoweka mnataka ata kumpokonya mwalimu kidogo alichonacho
 
Bado haueleweki, ufafanuzi zaidi
Mauzo ya nini au kuna biashara gani na shule ?
Kwa nini 50,000/= usizikate kwenye commission?
 
Toa maelezo yenye kutosheleza. Elimu ni muhimu kwanza, mtu akiridhika atapiga simu. Iku hizi matapeli wapo kila kichochoro, wanawatapeli hata walalahoi.
 
Bado haueleweki, ufafanuzi zaidi
Mauzo ya nini au kuna biashara gani na shule ?
Kwa nini 50,000/= usizikate kwenye commission?

poa ila jaribu kutafuatilia account yetu.
ni mawakala wa ajira za walimu tunamuunganisha mwalim na shule
 
Habari Wana jf.
Walimu wote walosajiliwa na kufanyiwa usaili na wasofanyiwa.
interview zinaendelea ili wawe tayari kwani order nyingi ni baada ya kufunguliwa kwa shule,i mean baada ya pasaka.
Order za History,Geography,civics,science na mathematics.
kongowe mbagala,mbezi kimara,kimara mwisho na tabata kwa bibi.
Diploma
Graduate
Nursery
0753810857
karibuni
 
Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857
 
teachers‘ junction;9164449 said:
Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857
Kama wewe mwenyewe ndiyo unaandika hivi basi ulicholeta hapa ni uhuni tuu na utapeli ndani yake
 
walimu wa Kiislam.
Hitajio la haraka..
wawe na Diploma au Grade A..
Shule iko tabata kinyerezi
Nafasi nne kwa walimu wa Diploma na tatu kwa Grade A.
0753-810857
 
walimu wa Kiislam.
Hitajio la haraka..
wawe na Diploma au Grade A..
Shule iko tabata kinyerezi
Nafasi nne kwa walimu wa Diploma na tatu kwa Grade A.
0753-810857
 
halafu wahusika wanapata nini? gharama za ofisi wanalipa wao, mtatoa posho au kuna percentage jwenye hiyo 50k anayolipa mwanachama?
 
Walimu walokwenda kufanya interview leo 08,04,2014.
Reminant tabata,Zabikha Islamic Kinyerezi na Centennial Seminary.
Mungu awaongoze.

Kwa wale wa kesho interview ya Agape High School iko pale pale pamoja na ya Reminant.
Jitahdi kufika kabla ya saa tatu.
Mungu atuongoze kwa kila jambo

Walimu wa Kiislam wa masomo ya chemistry, Physics,mathematics and Biology.
1.Diploma nafasi 4.
Shule iko kimara dar es salaam.
Salary 500,000/= to 550,000/=
2.Graduate nafasi 5.
shule ni ubungo,kimara,Kinyerezi na tegeta.
Salary 550,000/= to 680,000/=
jhtahd kuwahi.
Fika Teachers‘ Junction Magomeni Mapipa. teachers‘ Networking Centre.
0753-810857.
Assalam Allykhum
 
Habari wana jf
Kama teachers Networkng Centre.
tunahitajio la haraka la walimu ambao pia form six walifanya science pcm,pcb au cbg awe mwalimu au mwenye taaluma nyingne,awe tayari kufundisha primary english medium.
proposed salary450,000/= to 520,000/=
shule ziko mbagala Dar es salaam na kongowe pwani.
0753-810857
au fika ofcn kwetu magomen mapipa Dar es salaa.
au kwa mbeya iringa na rukwa
mnawezatembea ofc zetu zilizoko mbeya karibu na chuo cha mzumbe kwa mahitaji ya masomo mengine au piga simu.
0655-586906 mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…