Mawakala mikoa ya Mbeya,Iringa na Rukwa

Mawakala mikoa ya Mbeya,Iringa na Rukwa

teachers‘ junction;9032078 said:
Habari wana jf.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kutokana na kuwa na wateja weng kwenye mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Tumedhamiria kufungua tawi mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Hivyo tunahitaji mawakala kutoka mikoa hiyo.
Kila mkoa utaundwa na kundi la watu watatu mmoja akiwa ni branch manager.
Sifa za kujiunga:-
*kwenye kila mkoa awepo mwalimu kwenye kila kundi mwenye elimu kuanzia Diploma.
*Awepo mtu mwenye network kubwa na private schools.
*Awepo mtu mwenye ujuzi wa kutumia computer hasa data base na excel.
*wawe na uwezo wa kulipia Pango na Funitures.
*kuwepo na mkazi wa kudumu wa eneo hilo.
*wawe na uwezo mzuri wa lugha ya kiswahil na kingereza.

MAJUKUMU.
*kutembelea shule na kusimamia timu ya mauzo.
*kufanya usajili na usaili wa walimu.
*kuhudhuria vikao vyote vikao vyote vya teachers' junction.

NB.
*Members watatakiwa kulipa kila mmoja Tsh 50,000/=
*Members wawe wameshamteua kiongoz wao.
*Wote wawe tayari kukutana na uongozi wa Teachers Junction.
Ambao utakuwa mbeya mjini kuanzia 25.03.2014 hadi 29.03.2014.
Thibitisha utayari wako kwa kutuma jina,umri,Elimu,Profesional yako na Mahali unapoishi.
Kwa maelezo zaidi.
0753-810857


Nithibitishie kuwa hii siyo Ponzi au Pyramid scheme
 
Back
Top Bottom