D davidmimbi Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18 Reaction score 0 Nov 3, 2010 #1 Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini matokeo ya urais
Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini matokeo ya urais
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 256 Nov 3, 2010 #2 Hiyo ndo real source ya ushindi na sio ofisi za mawakala waliohifadhi kura fake
Saharavoice JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 4,017 Reaction score 2,580 Nov 3, 2010 #3 Nadhani ndicho kinachofanyika sasa hivi.