Elections 2010 Mawakala si wana matokeo ya kila kituo?

Elections 2010 Mawakala si wana matokeo ya kila kituo?

davidmimbi

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18
Reaction score
0
Marando yuko sahih, kama mawakala wao wanayo matokeo ya kila kituo, ni rahisi kuyajulisha upya na kutoa tamko. Wasitoe tamko kabla hawajawa na exact figures, wakikuta kuna utata wanaweza kutosaini matokeo ya urais
 
Hiyo ndo real source ya ushindi na sio ofisi za mawakala waliohifadhi kura fake
 
Back
Top Bottom