Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA Chato waeleza kuwa hawajaapishwa

Hutu linavyoogopa uchaguzi na kuapisha mawakala balaa .Tulimwambia usinunue ndege utapigiwa kura na ndege madaraja , Stiegersgorge na Standard Gauge hakusikia matokeo yake ndio haya linatengeneza mbinu za kuiba kura .
 
Uchaguzi wa Kenya diaspora wamepiga kura , Wafungwa wamepiga kura Tanzania tunajifunza nini?

Hakuna mgombea aliyekatwa jina

Mawakala wapo huru na wanaruhusiwa kupiga picha

Tume ipo huru kabisa Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…