Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA Chato waeleza kuwa hawajaapishwa

Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA Chato waeleza kuwa hawajaapishwa

Mkurugenzi yeyeto akigoma kumuapisha mgombea yeyeto wananchi mfateni nyumbani kwake hakuna kutoka kwake mpaka arudi ofisini akawaapishe mawakala wenu, waache uhuni amani yetu ni muhimu sana
Yap.. familia yake ikiwekewa shinikizo zito sana na umma, na nyumbani kwake pakageuka uwanja wa mapambano, lzm mkurugenzi alainike mapema sana
 
Kwa mtu mweny upeo atagundua kuwa attitude alonayo lissu na magufuli haztofautian sana. Wote wana hali flan ya udikteta na kiburi, mda mwngn inasaidia lkn mara nying inabomoa. Attitude ya magufuli kpnd cha korona iliitajika sana ili maisha yaende. Uncle magufuli una udhaifu mwing but cwez ona haya kukusifu kwa mambo makubwa uloyafabya kwny you nchi ambyo marais weng hawakufanya....
Watu wanaongelea mawakala kutokutendewa haki wewe unaongelea vitu vya ajabu ajabu,umevuta cha watu mkuu mbona unatoka kwenye reli kabisaaa!!
Sasa hapa uzalendo wa unayemungelea upo wapi?
 
Sina upande wwte kwny siasa hz, lakin kuna kitu kinaniambia kuwa chadema wakipewa madaraka hali inaweza kuwa mbya zaid na pia yalotokea libya kwa gadaffi ndo yanaweza kutokea Tanzania kwa magufuli. Huyu rais wetu ana mapungufu na yupo kwny chama cheny miziz ya matatzo but naamin kumpata kiongoz mzalendo calibre ya magufuli kwny kizaz hiki itatuchukua mda sana
Upande wako umeshauonesha upo kwa huyo unayemuita mzalendo,kwahyo usitupangie cha kufanya!
 
Yap.. familia yake ikiwekewa shinikizo zito sana na umma, na nyumbani kwake pakageuka uwanja wa mapambano, lzm mkurugenzi alainike mapema sana
Hao makada ni kudili nao kihuni tukiwachekea watakuwa ndo chanzo cha Vita nchini ni heri kuwadhiti wao ili amani isipotee
 
Sawa kiongozi tumekuelewa. Lkn hilo Mahera amesema ameongeza siku 2 mpk tarehe 23/10/2020. Kwahiyo makamanda nendeni nyumbani tu.
Wasipohapishwa waandamane wakalale kwa mkurugenzi mpaka arudi kuwaapisha atutaki uhuni utakaotuletea Vita mwaka huu
 
Vyama vya upinzani aandaeni utaratibu wa chakula kwa mawakala wenu wasitoke kwenda kununua nje wakitoka tu mmepigwa, na wasipokula asubui ndo imetoka hio watashinda njaa.
 
Wananchi pigeni kambi nyumbani kwa wasimamizi wa uchaguzi. Hao ndio shiiiidaaaa!!! Kuapishwa mawakala piga kambi, baada ya kupiga kura piga kambi hukohuko kwa mara DED, kutangaza matokeo piga kambi, na hakikisha mnalinda usalama wa familia yake. Akichezea kura zenu chezea familia! Ngoma droooo!
 
Dah.. safi Sana. Tuwekee hiyo clip ukiipata pls
Mkuu nimekuwekea short video ya ilivyokuwa baada ya msimamizi wa kituo alizingua umati ukamfuata mpaka kwake. Hii ndio Mbeya
 

Attachments

  • VID-20201022-WA0040.mp4
    4.5 MB
Wananchi pigeni kambi nyumbani kwa wasimamizi wa uchaguzi. Hao ndio shiiiidaaaa!!! Kuapishwa mawakala piga kambi, baada ya kupiga kura piga kambi hukohuko kwa mara DED, kutangaza matokeo piga kambi, na hakikisha mnalinda usalama wa familia yake. Akichezea kura zenu chezea familia! Ngoma droooo!
Mbeya hili wameshaanza kulitekeleza. Inatosha & sasa bhassss
 
Huyu jamaa akitawala tena miaka 5 tutalimia ulimi badala ya meno tuliolimia miaka 5 iliyopita.

Halafu kama tutaruhusu atawale tena miaka 5 atabomoa ndoa zetu badala ya nyumba zetu. Maana hali itakuwa ngumu balaa. Hela yote anaipeeleka kwenye reli.
Huyu mzee anaendelea chief rafu zinachezwa huku chini, mawakala wa ccm wamepewa maelekezo tofauti na wapinzani sasa sijajua lengo lao nini
 
Hata mm nimemkwida mkurugenzi. Mpk OCD alipofika alikuwa anahema kama kuku anayeumwa mdondo. Nyambafu!

Akashauriwa aapishe mawakala wangu 6 aliyokuwa anawafanyia figisu.

Tuacheni uwoga watanzania. Lisu anachechema lkn ujasiri 100% wewe uko kamili na viungo vyote ujasiri 0%
Mkuu jaribu kuwatia pressure na wengine wakomae vinginevyo itakula kwetu.
 
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania

Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa





Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.

Source: Swahili Villa

Huyo mama angemshauli jamaa yake afunge vifungo vya shati
 
Mkuu nimekuwekea short video ya ilivyokuwa baada ya msimamizi wa kituo alizingua umati ukamfuata mpaka kwake. Hii ndio Mbeya
Dah... Asante Sana mkuu. Kumbe wananchi wa Songwe siyo wa mchezo mchezo. Kwa nyomi hilo la binadamu lzm alainike, atake asitake

CHADEMA
Njooni hapa mpate somo
 
Akigoma kukuapisheni mfateni nyumbani kwake na wafuasi wenu zingireni nyumba yake usiku na mchana Hadi atakapowaapisha yasijirudie tena ya serikali za mitaa. Wahuni Hawa ni kuwashughulikia kihuni kweli kweli Hadi watende haki. Wanampigania mtu anaekwenda kuwatumbua akili matope
 
Huyu mzee anaendelea chief rafu zinachezwa huku chini, mawakala wa ccm wamepewa maelekezo tofauti na wapinzani sasa sijajua lengo lao nini
Daah! Ngoja nizitafute hizo rafu halafu nimjuze Amsterdam.

Huyu john atatumaliza akipata tena
 
Plan B ni kuchoma nyumba yake baasi kama noma na iwe noma.
Hawa wahuni wachache wakiachiwa hivyi hivi ndo watavuruga amani yetu ni kuwazingira nyumba zao wachague moja kutenda haki au ama zao.
Fanyeni Kama walivyofanya tunduma kumfuata mkurugenzi muhuni nyumbani kwake akawaapishe mawakala.Wanalipwa kwa Kodi zetu na sio kwa pesa ya mtu mfukoni ni lzm wafanye sheria inavyotaka.
Maana kutumia gharama kubwa kupiga kampeni kisha unaibiwa dk za mwisho hakuna maana.
Washughulikieni kweli kweli hao wahuni ili wakamsalimie awatumae
 
Back
Top Bottom