- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi imeanza.Lazima kitawaka tu mwaka huuWewe upo dunia ipi?Hujaona hii barau alioandika?View attachment 1607855
Wakati huo viongozi wa dini wanakazania amani amani huku wakisahau haki.Adui mkubwa wa kuhubiri haki ni viongozi wetu wa dini.Madudu mengi yanazidi kuanikwa hadharani yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi majimboni kushindwa kutekeleza majukumu yao kwa haki.
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM.
Source: Swahili Villa
21 Oct 2020
Tanga, Tanzania
Bila mawakala wetu, hapatakuwa na uchaguzi - Lissu
Mgombea urais wa Tanzania 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, amesema chama chake hakitakubali kuona kuwa mawakala wake hawaapishwi na wasimamizi wa uchaguzi.
Nec ni wahuni tu wameshindwa kuwasimamia wakurugenzi wa halmashauri wanafanya uhuni tu vituoniUkurupukaji ni ugonjwa. Umewasikiliza nec suala la mawakala?
Mkuu, ungefafanua. Wamechukua hatua gani?Haya mambo ya kulalamika lalamika bila kuchukua hatua yafikie mwisho. Mbona sehemu nyingine huko wamechukua hatua madhubuti na wakaapishwa?
Tuiishi kauli ya "SASA BHASI, INATOSHA"
Hapo sawa!Fanyeni kama Songwe. Watu nyomi ya mawakala wa Chadema Jimbo zima imeandamana kwenda nyumbani kwa mkurugenzi. Siyo ofisini, nyumbani. Walipofika tu akaona hizi sura siyo. Akaanza kuwaapisha. Chezea nguvu ya umma wewe!!
Sina upande wwte kwny siasa hz, lakin kuna kitu kinaniambia kuwa chadema wakipewa madaraka hali inaweza kuwa mbya zaid na pia yalotokea libya kwa gadaffi ndo yanaweza kutokea Tanzania kwa magufuli. Huyu rais wetu ana mapungufu na yupo kwny chama cheny miziz ya matatzo but naamin kumpata kiongoz mzalendo calibre ya magufuli kwny kizaz hiki itatuchukua mda sanaNec ni wahuni tu wameshindwa kuwasimamia wakurugenzi wa halmashauri wanafanya uhuni tu vituoni
Kwa mtu mweny upeo atagundua kuwa attitude alonayo lissu na magufuli haztofautian sana. Wote wana hali flan ya udikteta na kiburi, mda mwngn inasaidia lkn mara nying inabomoa. Attitude ya magufuli kpnd cha korona iliitajika sana ili maisha yaende. Uncle magufuli una udhaifu mwing but cwez ona haya kukusifu kwa mambo makubwa uloyafabya kwny you nchi ambyo marais weng hawakufanya....Hivi hao wakurugenzi wa majiji na manispaa walipewa seminar kuhusu uchaguzi kuhusu mawakala? Ni aibu Sana...wakurugenzi ni waharibifu wakubwa sana wa mchakato wa uchaguzi.
Huko Songwe Mbeya kundi la watu wasiopungia 1000 wamemfuata msaidizi mpaka nyumbani kwake, alipopata taarifa anafuatwa na wananchi mwenyewe alitoka na kwenda kuwaapisha.Mkuu, ungefafanua. Wamechukua hatua gani?
Dah.. safi Sana. Tuwekee hiyo clip ukiipata plsHuko Songwe Mbeya kundi la watu wasiopungia 1000 wamemfuata msaidizi mpaka nyumbani kwake, alipopata taarifa anafuatwa na wananchi mwenyewe alitoka na kwenda kuwaapisha.
Ngoja niitafute video yake niilete hapa maana nilishaifuta