The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Wakuu Salaam:
Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki.
Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura zilizopigwa kwa upande wa chama chao zinahesabiwa kwa haki bila uhuni wowote.
Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, tulishughudia mengi yakiwemo mawakala wa Chadema kutokupewa kiapo au kuhusika katika mchakato mzima wa kuhesabiwa kura na mambo mengine.
Mawakala wanatakiwa wawepo kila kituo cha kupigia kura iwe mjini au vijijini.
Siku chache zijazo tunafanya uchaguzi Mkuu, je chama cha upinzani CHADEMA kimejiandaaje na mawakala wao kuhusu uchaguzi huu ili kusiwepo na dhuluma ama rushwa ya aina yoyote?