The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Labda hua kuna kununuliwa kwa mawakala wa chama pinzaniKati ya sehemu kuna bao la mkono, basi ni kwa mawakala
Wew upo kwenye uhasibu wa chama?Hwana hela za kuweka mawakala
Sasa kama ni kweli chama hakina fedha za kutosha, ni dhahiri bao la mkono lipo na ule uhuru na haki katika uchaguzi inabidi hiyo dhana isahaulikeKifedha chama kina afya mbaya , chama kipo kwenye high dependency facility, ni maumivu tuu. Nawapa pole. Bahati mbaya hata hali ya wagombeya udiwani ndio usiseme. Nafikiri walighafirika, hawakujua uchaguzi utakuwa October 2020.
Wakat tunaendelea na uchaguz mida ya saa tisa wenzetu wa sisi em wakaletewa msos kwenye vidubwasha vya tek awey tukamshtua kiongoz wetu msos vp akatuambia ngoja niwasiliane na meneja mida ya kumi na moja jibu linarud mgombea yupo bize hapokei sim lkn wakimpata atarekebisha ikawa haina jins tukaongea na jamaa wa sisiem watuazime walau maj au juis kiongoz wao akasema fresh,saa mbili usiku tukaletewa msos tukala kwa zamu wakat huo chumba cha kuhesabia kura kipo Moto, tukakomaa na Lile zoez mpaka asubuh ya siku ya pili masanduku yalipopelekwa kituo cha majumuisho kwa bakhti mbaya jamaa aliangukia pua na sis hatukupata hata mia.Labda hua kuna kununuliwa kwa mawakala wa chama pinzani
Jeshi letu ni imara kuliko yote Afrika, hakuna mbwa atakuja kumsumbua rais wetu meko foolCCM wajipange kisaikolojia tu, salama yao waachie nchi kwa amani. Wapinzani hawahitaji sana mawakala katika uchaguzi huu, wanachohitaji ni machafuko yatokee hata kidogo tu ili mabeberu watie timu.
Hizi figisu wanazofanya kwenye kampeni zinawekwa kwenye rekodi ya kuja kuhalalisha kumng'oa jiwe kwa nguvu na kumfungulia mashtaka katika mahakama ya kimataifa.
Nchi za Ulaya na Marekani wanasubiri tu uchaguzi uishe wafanye yao.
UN imeionya serikali ya jiwe, AMNEST INTERNATIONAL imeionya serikali ya jiwe na kuomba mataifa yaipe kibano Tanzania, Marekani (Pentagon Na Baraza La Wakilishi) wameionya Tanzania. Ila viongozi wanajifanya wabishi sana kuliko hata Sadam Hussein na Muamar Gaddafi.
Sikio la kufa halisikii dawa, yajayo yanafurahisha sana.
Hao jamaa hawaj hv HV tu, ikitokea wakampiga tafu tundu lazima awe kinyago wao,atalazimika kuwalipa kwa namna ambayo wao wanatakaCCM wajipange kisaikolojia tu, salama yao waachie nchi kwa amani. Wapinzani hawahitaji sana mawakala katika uchaguzi huu, wanachohitaji ni machafuko yatokee hata kidogo tu ili mabeberu watie timu.
Hizi figisu wanazofanya kwenye kampeni zinawekwa kwenye rekodi ya kuja kuhalalisha kumng'oa jiwe kwa nguvu na kumfungulia mashtaka katika mahakama ya kimataifa.
Nchi za Ulaya na Marekani wanasubiri tu uchaguzi uishe wafanye yao.
UN imeionya serikali ya jiwe, AMNEST INTERNATIONAL imeionya serikali ya jiwe na kuomba mataifa yaipe kibano Tanzania, Marekani (Pentagon Na Baraza La Wakilishi) wameionya Tanzania. Ila viongozi wanajifanya wabishi sana kuliko hata Sadam Hussein na Muamar Gaddafi.
Sikio la kufa halisikii dawa, yajayo yanafurahisha sana.
Kabisa mm ni CCM damu lakini leo nimechukua kadi ya chadema na nimepewa connection ya kulinda kura za Chadema, wakubwa wangu wa CCM wamenipongeza saana mimi kijana wao machachari kwa kupenya ngome ya upinzaniKati ya sehemu kuna bao la mkono, basi ni kwa mawakala
Ndiyo maana yake, mawakala siyo wa kuwaamini kwa asilimia zote hata kama wameapishwa. Rushwa inaeza tolewaLabda hua kuna kununuliwa kwa mawakala wa chama pinzani
Kwahiyo utakua mwaminifu?Kabisa mm ni CCM damu lakini leo nimechukua kadi ya chadema na nimepewa connection ya kulinda kura za Chadema, wakubwa wangu wa CCM wamenipongeza saana mimi kijana wao machachari kwa kupenya ngome ya upinzani
Kwahiyo utakua mwaminifu?
Nazungumzia uchaguzi wa jana...Ole sabaya kamnyima amani Kaka jimboni mwakeNikajua unazungumzia uchaguzi mkuu 2025 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]