Waandae huo ushahidi Kama Sheria inasema kila chama kiwe na wakala kwanini wanyimwe hiyo nafasi? Tunataka ubwabwa wasituletee utani, kuanzia Sasa Kama waziri, mkuu wa mkoa, wilaya anaingilia uchaguzi wakati hausiki siyo muda wa kumukemea tuu nikuchukua ushahidi kwamba wanaharibu uchaguzi sasa hivi tubaki na tume ya uchaguzi na wapiga kura tu.
Wengine wote wakae pembeni ili atakaye acha kusimamia uchaguzi inavyotakiwa sheria ichukue mkondo wake. Chaguzi zilizopita watu wamefanya kwa amani pamoja na makandokando lakini wakala na fomu walipewa ili kuepusha kesi ya wizi wa kura kwa kukusudia ili kuvunja amani na kuleta ghasia.