Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHAUMMA wanahujumiwa. Tukisema uchaguzi unavurugwa na Tume yenyewe, hii ndio maana yake

Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHAUMMA wanahujumiwa. Tukisema uchaguzi unavurugwa na Tume yenyewe, hii ndio maana yake

Joined
Oct 1, 2020
Posts
7
Reaction score
22
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi.

Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio karatibu kutoa maelekezo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Ngazi ya Majimbo kutokuapisha Mawakala wa CHAUMMA na hata kuondolewa wale waliokwisha kuapishwa. Huu ni Ushahidi mwingine.

HATUNA IMANI TENA na Ndugu Mahera kwa haya yanayoendelea.

2602244_IMG-20201026-WA0099.jpg
2602245_IMG-20201026-WA0100.jpg
 
Chauma chunguzeni, Chadema wanawahujumu ili msipeleke mawakala.
 
Waandae huo ushahidi Kama Sheria inasema kila chama kiwe na wakala kwanini wanyimwe hiyo nafasi? Tunataka ubwabwa wasituletee utani, kuanzia Sasa Kama waziri, mkuu wa mkoa, wilaya anaingilia uchaguzi wakati hausiki siyo muda wa kumukemea tuu nikuchukua ushahidi kwamba wanaharibu uchaguzi sasa hivi tubaki na tume ya uchaguzi na wapiga kura tu.

Wengine wote wakae pembeni ili atakaye acha kusimamia uchaguzi inavyotakiwa sheria ichukue mkondo wake. Chaguzi zilizopita watu wamefanya kwa amani pamoja na makandokando lakini wakala na fomu walipewa ili kuepusha kesi ya wizi wa kura kwa kukusudia ili kuvunja amani na kuleta ghasia.
 
Chadema wanapoonewa mnakaa kimya, sasa kufeni peke yenu
Chauma ni wapinzani halisi,
Nchi hii vyama vya upinzani ni
Chadema, ACT na Chauma

Hata kumfungia Lissu chauma walikataa na saivi Ccm wameshtuka huenda hao ni mawakala wa Chadema ila wamekwepa figisu kwa kuvaa uChauma
 
Back
Top Bottom