Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Wewe ni wakike tafuta zeee la kizungu itakuwa rahisi sanaNa mm jaman sema Sina Ata document inayoitwa passport 😞
Ww unaenda wapi🙄Na mm jaman sema Sina Ata document inayoitwa passport 😞
Kama haujavuka 40 Tafuta zee la kizungu Kama alivyofanya Mange kimambi.Na mm jaman sema Sina Ata document inayoitwa passport 😞
Sema ni wavivu wa kulima, Kuna mapori ya akiba hum unaweza kulima hata bange ukatoboa😄Ndiko mnaenda kutolewa figo
Sweezeland ndio wapi mzee wa kazi?nikawe muokota taka sweezeland
Wazee wa Yas mmeongezeka sanaSema ni wavivu wa kulima, Kuna mapori ya akiba hum unaweza kulima hata bange ukatoboa😄
Unamaanisha nn bossWazee wa Yas mmeongezeka sana
Kweli wote wanataka kwenda kufanya kazi TRASema ni wavivu wa kulima, Kuna mapori ya akiba hum unaweza kulima hata bange ukatoboa😄
Hawapatikan kirahis ivyoWewe ni wakike tafuta zeee la kizungu itakuwa rahisi sana
Ni haiwezekani.Kweli wote wanataka kwenda kufanya kazi TRA
Alikoandika mtoa madaWw unaenda wapi🙄
Sasa yeye alikua trip kikazi yaan job nn sijui alikua tyr na passportKama haujavuka 40 Tafuta zee la kizungu Kama alivyofanya Mange kimambi.
Mmh yas ipi iyoWazee wa Yas mmeongezeka sana
Tukamatwe kama mama dangoteSema ni wavivu wa kulima, Kuna mapori ya akiba hum unaweza kulima hata bange ukatoboa😄
Ni kweli hawapatikani kirahisi ila kama unawahitaji Nenda Znz.Hawapatikan kirahis ivyo
hakuna kazi kama hizo kwa wageni, hata wazungu wanahangaika kupata kazi za hovyoo, labda uwe na fani ambayo inahitajika huko, check green visa application utaona vigezoHabari wakuu...!
Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo.
Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi
Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
Mm kibonge,Sina Rasta as dreadlocksNi kweli hawapatikani kirahisi ila kama unawahitaji Nenda Znz.
Kuna mawakala/dalali kibao wa kuwaonganisha wadada wa Kiafrika na Wazungu.
(Ukiwa mweusi, model flan na unafuga Rasta - nafas ni kubwa)
Ukiwa tofaut na hapo basi jua unaenda kufanya umalaya kama umalaya mwingne.
Anastasia21