Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Sweezeland!?Alikoandika mtoa mada
Sweezeland!?Alikoandika mtoa mada
Uko uko na Oman Saudi kaandika na uko😹Sweezeland!?
Basi Mtumishi ww ni Chakula chetu sisi wabongo 😂😂😂😂. Anastasia21Mm kibonge,Sina Rasta as dreadlocks
Huo uso siyo wa 'chibonge' unless ume - edit hiyo picha.Mm kibonge,Sina Rasta as dreadlocks
Jaman hamtak niwaote wazunguBasi Mtumishi ww ni Chakula chetu sisi wabongo 😂😂😂😂. Anastasia21
Watu na macho ya rohoniHuo uso siyo wa 'chibonge' unless ume - edit hiyo picha.
kuna niliwaona tiktok wanakutaftia hadi passport dubali ni 1.6M go and return passport 150kNa mm jaman sema Sina Ata document inayoitwa passport 😞
Una umri gani ndugu,kuna kitu nataka kukushauri kabla hujakurupuka na kuja kujutia mbeleniHabari wakuu...!
Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo.
Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi
Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
Sasa iyo si vacation mm nataka nikae kbs kama worker or nikasome maybekuna niliwaona tiktok wanakutaftia hadi passport dubali ni 1.6M go and return passport 150k
Atajilaumu mwenyewe, acha Ninja akajitafute labda kweli tobo lake ndio lipo huko anapokuwazaMkiuzwa kwenye vituo vya mashoga mtamlaumu nani ?
tafta passport mambo mazuri yapo nje linda afya yako piaNa mm jaman sema Sina Ata document inayoitwa passport 😞