Vitabu aina mbili (SIRI YA UKOMBOZI WA MJASIRIAMALI na UJASIRIAMALI KWA VITENDO) vilivyouzika sana katika maonesho ya Sabasaba Dar Es Salaam na Nane nane Arusha mwaka huu vinatakiwa kuuzwa mikoani kwa njia ya mawakala. Kila kitabu kinauza Tsh. 5,000 ila tutamuuzia wakala kwa Tsh. 3,000 kwa bei ya jumla. Ofisi zetu zipo Magomeni Morocco Hotel mtaa wa Idrissa nyumba nambari 16 Ghorofa ya 1. Mawasiliano zaidi wasiliana na mtunzi Bw. Staphord Kwanama 0712 066 064 au 0753 125 474.