Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Una utani na Babu Asprin!?Nichukulie namba za sky eklat nitakulipa kiasi chochote kile utakachotaka mkuu
Don't mind me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utani na Babu Asprin!?Nichukulie namba za sky eklat nitakulipa kiasi chochote kile utakachotaka mkuu
Don't mind me
let's my heart walk to herUna utani na Babu Asprin!?
Unataka kulogwa?let's my heart walk to her
Sijajua kama hii ni couple mkuu ngoja aje Tu hyo asprin
Utaniloga Kwa kutumia blootuth au wires au WIFIUnataka kulogwa?
Achana na mke wangu.
Usije ukasema sikukuonya
Atakuwa kashakuelewa BabuUnataka kulogwa?
Achana na mke wangu.
Usije ukasema sikukuonya
Nitaftie namba za sky eklatMimi natumia njia ya kumzidishia hela mfano akitoa elf 5000 basi nampa 10,000.huwa hawaruki napiga papuchi mpya kila siku . [emoji3][emoji3]
Ndio weye DP mumuy?mpaka unafungua Kibanda cha kuweka na kutoa hela ulikuwa huna mpenzi permanent???
Dah nimeangalia avatar yako nikakumbuka kuna kijana ali fall in love kule MMU sijui mshamalizana??Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.
Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.
Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
Kweli unawashwa wewe. Si bureUtaniloga Kwa kutumia blootuth au wires au WIFI
Mwambie sky eklat nampenda sana nashukuru pia kumfaham mume mwenza
mkuu tutazingatia kauli hii elekeziMmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.