Mawakala wa M-PESA, TIGOPESA na AIRTELMONEY tunaochukua namba za warembo kupitia miamala tukutane hapa.

Unataka kulogwa?

Achana na mke wangu.

Usije ukasema sikukuonya
Utaniloga Kwa kutumia blootuth au wires au WIFI

Mwambie sky eklat nampenda sana nashukuru pia kumfaham mume mwenza
 
Mimi natumia njia ya kumzidishia hela mfano akitoa elf 5000 basi nampa 10,000.huwa hawaruki napiga papuchi mpya kila siku . [emoji3][emoji3]
 
Mimi natumia njia ya kumzidishia hela mfano akitoa elf 5000 basi nampa 10,000.huwa hawaruki napiga papuchi mpya kila siku . [emoji3][emoji3]
Nitaftie namba za sky eklat
 
mpaka unafungua Kibanda cha kuweka na kutoa hela ulikuwa huna mpenzi permanent???
 
wale wenye magari tukutane kwenye uzi wetu, maana watoto wazuri wanavyo penda kutuomba LIFT. Tunamaliza humo humo kweye Gari no waY, hatuchukuagi Number.
 
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
Dah nimeangalia avatar yako nikakumbuka kuna kijana ali fall in love kule MMU sijui mshamalizana??
 
pia mnatuhumiwa kuwauza wateja wenu kwa vibaka .
Naile tuhuma nyingine
 
Wakala unakataliwaje xx emu tuma laki fany kma umekisea iv uwone
 
Mmh. Mbona kama mbinu ya kizamani hiyo.

Ila kwani unashindwaje kuwaomba namba hao wadada wakakupa wenyewe kwa hiari yao ili hata ukileta huo mtongozo muweze kuelewana.

Punguzeni uoga jamani sababu mnakoelekea mtaharibu ile maana nzima ya uanaume.
mkuu tutazingatia kauli hii elekezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…