Mawakala wa M-Pesa tusaidiane hapa

Eurusd

Member
Joined
Feb 22, 2018
Posts
64
Reaction score
35
Habarini zenu wakuu!
Naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwanunulia wateja vifurushi Kama Cheka zogo kwa haraka.

Mimi huwa mteja akihitaji kifurushi naanza kukwangua vocha na kuingiza kwenye simu yangu Kisha namuungia mteja kifurushi anachotaka , kufanya hivyo wateja wanaona km nachelewa hivi ...

Nimejaribu kuwaza njia nyepes Bila kungwangua vocha Bado sijaijua ,

Nimejaribu kuingiza vocha kabisa na kuacha muda wa maongez kwenye simu ili mteja akija nipige code ya kifurushi asepe faster lakin Voda naona Kama wanakula ule muda wa maongez kidogo kidogo , .

Nipeni uzoefu wenu basi Mimi nakwama wapi!
 
Weka npesa you yako kwenye m-pesa ata kama 50,000 then nunua kama salio kwenye hiyo line unayo tuma vifurushi hapo unakua na salio la kawaida kwenye simu yako...

Kuna short cut hizo unazotumia kumnunulia nkifurushi mteja mfano

*149*60*499*0756...# ok hapo mitandao yote
*149*60*500*0756....#ok

Vipo vifurushi vingi
495
498 siku tatu
995
999
998 siku tatu
2000week
1999week mitando yote
 
Mkuu nashukuru Sana kwa msaada wako , ubarikiwe Sana ,
 
nafikiri kuna voda fasta unaweza onana tu hawa frlancer wa voda na hiyo hata kenye malipo faini ni kubwa kidgo
 
Usiumize kichwa achana na hizo habari za vocha za kukwangua.
Chukua tu lain nenda voda shop wanakuunganisha kuuza vifurushi,vocha za kurusha na internet.
Yaan kama vile ilivyo tu kwa tigo rusha.
Na utakua unapata zaid ya 10% ya kila muamala.
 
Usiumize kichwa achana na hizo habari za vocha za kukwangua.
Chukua tu lain nenda voda shop wanakuunganisha kuuza vifurushi,vocha za kurusha na internet.
Yaan kama vile ilivyo tu kwa tigo rusha.
Na utakua unapata zaid ya 10% ya kila muamala.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…