Habarini zenu wakuu!
Naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwanunulia wateja vifurushi Kama Cheka zogo kwa haraka.
Mimi huwa mteja akihitaji kifurushi naanza kukwangua vocha na kuingiza kwenye simu yangu Kisha namuungia mteja kifurushi anachotaka , kufanya hivyo wateja wanaona km nachelewa hivi ...
Nimejaribu kuwaza njia nyepes Bila kungwangua vocha Bado sijaijua ,
Nimejaribu kuingiza vocha kabisa na kuacha muda wa maongez kwenye simu ili mteja akija nipige code ya kifurushi asepe faster lakin Voda naona Kama wanakula ule muda wa maongez kidogo kidogo , .
Nipeni uzoefu wenu basi Mimi nakwama wapi!